This is what GMO is, for those who are interested

I am interested but I Im not sure if Imgonnawatchthevideo.!!
 
Campaigning for use of GMO is a plan to control world food supply. Read deeper & stop relying on sugar-coated youtube videos
He's on a payroll, he's just here to test the waters...
GMO ni hatari sana over
Nakazia tena, sababu kubwa ya ongezeko la magonjwa ya kansa ni hivi vyakula vya GMO.
 
MY TAKE; Wakati wenzetu wanazidi kutuacha kwa kuongeza matumizi ya sayansi na technology, "We Africa we over debating"
eliakeem

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app

kama unadhani matumizi ya GMO ni sahihi na unapigia chapuo basi your worldview perception is very weak na hujui mpaka sasa nini kinaendelea kuhusu hizo GMO. Fanya kauchunguzi kadogo utaona namna ambavyo zinapigwa vita, na kuna nchi zimeacha mbegu hizo kutokana na madhara yake kwa binadamu.

hata hapa tz, mahindi ya GMO si rahisi kuyatunza, ukiweka ghalani inakulazimu kuyatilia dawa kila baada ya miezi kadhaa na baada ya muda fulani si zaidi ya mwaka yanatakiwa yatumike la sivyo yanaharibika yanapukutika tu hata kwa mkono yanasagika.

achana na hizo documentary za kibiashara
 
Asante sana kaka, maana mi nikisema naonekana mnoko.
 
Nimesikiliza debate kati ya mtaalam mmoja wa Kenya na mmoja wa Tanzania leo asubuhi BBC, nimejifunza yule mtaalamu toka Tanzania ana hoja zenye mashiko na amemwacha mkenya akijiumahma kutetea asicchokijua nyuma ya pazia
 
hata hapa tz, mahindi ya GMO si rahisi kuyatunza, ukiweka ghalani inakulazimu kuyatilia dawa kila baada ya miezi kadhaa na baada ya muda fulani si zaidi ya mwaka yanatakiwa yatumike la sivyo yanaharibika yanapukutika tu hata kwa mkono yanasagika.
Ukivuna mazao ukapanda mbegu hizo nyingi hazioti, maana yake lazima ukanunue tena badala ya kutumia mazao yako kama mbegu, kwenye matunda nimeona maembe asilia ambayo huko nyuma yalikuwa hayaathiriki na wadudu hivi ssasa yanaharibiwa na wadudu
 
Kwahiyo wewe na hao maprofessor waliobobea katika hiyo gani, nani mwenye Elimu ya GMO?, Wacha story za vijiweni, Africa tutaendelea kubaki nyuma tukiendelea kuendeleza ujinga Kama huu

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Ukivuna mazao ukapanda mbegu hizo nyingi hazioti, maana yake lazima ukanunue tena badala ya kutumia mazao yako kama mbegu, kwenye matunda nimeona maembe asilia ambayo huko nyuma yalikuwa hayaathiriki na wadudu hivi ssasa yanaharibiwa na wadudu
Mbona ukifuga kuku ni lazima ununue vifaranga wengine, je kusingekuwepo Hawa kuku na tungeendelea kutegemea kuku Hawa wanaotaga na kutotoa watoto, Dunia Leo ingekuwa wapi?. Hivi ni ajira na faida kiasi gani vinapatikana kwa kufuga Hawa kuku wa kisasa ambao wewe unapinga eti kwa kigezo cha kununua mbegu upya?

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Mbona ukifuga kuku ni lazima ununue vifaranga wengine, je kusingekuwepo Hawa kuku na tungeendelea kutegemea kuku Hawa wanaotaga na kutotoa watoto, Dunia Leo ingekuwa wapi?. Hivi ni ajira na faida kiasi gani vinapatikana kwa kufuga Hawa kuku wa kisasa ambao wewe unapinga eti kwa kigezo cha kununua mbegu upya?

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Siyo wotee wanaofuga hao kuku na siyo wote wanawatumia wengi tunafuga mbuzi, bata, kanga nk kuepuka madhara yatokanayo na hao kuku
 
kama wewe ni mfanya biashara utonani nzuri if wewe ni mtumiaji utaona ni mbaya. Inategemeawewe unaangalia kwa angle gani.
 
Nimesikiliza debate kati ya mtaalam mmoja wa Kenya na mmoja wa Tanzania leo asubuhi BBC, nimejifunza yule mtaalamu toka Tanzania ana hoja zenye mashiko na amemwacha mkenya akijiumahma kutetea asicchokijua nyuma ya pazia
wakenya watalima miaka miwili tu, watarudi kununua mahaindi tz. kwa wapenda ugali wa sembe tunajua hata ugali wa unga wa mahindi ya kisasa+gmo si mweupe angavu kama mahindi ya kienyeji ambayo ugali wake wa sembe ni mweupe angavu unavutia hata kuutazama
 
Back
Top Bottom