This is what GMO is, for those who are interested

Ukivuna mazao ukapanda mbegu hizo nyingi hazioti, maana yake lazima ukanunue tena badala ya kutumia mazao yako kama mbegu, kwenye matunda nimeona maembe asilia ambayo huko nyuma yalikuwa hayaathiriki na wadudu hivi ssasa yanaharibiwa na wadudu
Maembe,Parachichi ya sasa mpaka upige madawa! Hizi GMO ni biashara za watu!! Na tulipofikia mbegu nyingi za asili zinaenda kuwa wiped out!! Its so sad
 
Mbona ukifuga kuku ni lazima ununue vifaranga wengine, je kusingekuwepo Hawa kuku na tungeendelea kutegemea kuku Hawa wanaotaga na kutotoa watoto, Dunia Leo ingekuwa wapi?. Hivi ni ajira na faida kiasi gani vinapatikana kwa kufuga Hawa kuku wa kisasa ambao wewe unapinga eti kwa kigezo cha kununua mbegu upya?

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Wewe unafikiria faida tu? Unajua ni madhara gani yanayopatikana kutokana na ulaji wa hayo makuku ya kisasa?
 
Bro! Kwenye hilo la GMO umefeli! Hatutaki!
Wewe nani?, Kwani hata chanjo ya Corona mliikubali?, Leo hii kikowapi?, Chanjo inaendelea Kama kawaida, endelea na maombi kanisani na miaikitini, wenye akili wanaelekea sayari ya Mars?[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Nataka mtambue kwamba Kenya ni nchi Hatari sana Afrika.

Kuna sababu ofisi nyingi kubwa za kimataifa zimepiga kambi Nairobi. Toka huko nyumba viongozi wa Kenya kuanzia Kenyatta walishirikiana vizuri na Marekani na Uingereza katika ubepari wa kuinyonya Afrika.

Ukiangalia historia, ndiyo maana hata Jaramogi Oginga Odinga alifarakanishwa na Kenyatta akajiuzulu umakamo wa rais na kuwa mpinzani. Mpaka leo tunaongea kama mpo makini, juzi tu Raila amepokonywa ushindi, walionyooshewa vidole kushiriki kwenye uchakachuaji ni Uingereza na Marekani. Kwanini, Raila anaegemea sana kwenye social welfare system kuliko capitalism, maana yake ni kwamba, uraisi wa Raila hauna tija kwa mataifa kama Marekani na Uingereza ila Ruto ni rahisi kumtia kibindoni.

Tizama ujumbe alioutuma Joe Biden kuhudhuria sherehe ya uapishaji wa Ruto, ulikuwa ujumbe mkubwa na muhimu sana, baada ya hapo, wakakutana na Ruto DC, na wiki hii tumeona ujumbe mwingine wa Marekani ikulu ya Kenya, baada ya hapo kilichofuata ni tangazo la Ruto kutoa zuio la GMO.

Tayari Ruto ametekwa na ni Hatari sana kwa maendeleo na mustakabali wa taifa la Kenya.

As things stand now, Ruto might be the most bogus president soon in Kenya in the recent times.
 
kama unadhani matumizi ya GMO ni sahihi na unapigia chapuo basi your worldview perception is very weak na hujui mpaka sasa nini kinaendelea kuhusu hizo GMO. Fanya kauchunguzi kadogo utaona namna ambavyo zinapigwa vita, na kuna nchi zimeacha mbegu hizo kutokana na madhara yake kwa binadamu.

hata hapa tz, mahindi ya GMO si rahisi kuyatunza, ukiweka ghalani inakulazimu kuyatilia dawa kila baada ya miezi kadhaa na baada ya muda fulani si zaidi ya mwaka yanatakiwa yatumike la sivyo yanaharibika yanapukutika tu hata kwa mkono yanasagika.

achana na hizo documentary za kibiashara
Kuna mtaalamu nilikuwa naongea naye siku wa masuala ya mbegu na iko hivi, haya mahindi tunayoona mashambani huko na tunayoyalalamikia siyo GMO bali ni hybrid tu hizo. Kwa sasa Tanzania imepiga maarufu bidhaa za GMO.
 
Ukivuna mazao ukapanda mbegu hizo nyingi hazioti, maana yake lazima ukanunue tena badala ya kutumia mazao yako kama mbegu, kwenye matunda nimeona maembe asilia ambayo huko nyuma yalikuwa hayaathiriki na wadudu hivi ssasa yanaharibiwa na wadudu
Hizo ni hybrid siyo GMO
 
Kwahiyo wewe na hao maprofessor waliobobea katika hiyo gani, nani mwenye Elimu ya GMO?, Wacha story za vijiweni, Africa tutaendelea kubaki nyuma tukiendelea kuendeleza ujinga Kama huu

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Tumeshuhudia nchi za Ulaya na America wakiandamana wakipinga mbegu za GMO zinazozalishwa na makampuni kama ya Mosantos.
 
Tunaomba ushahidi wa kitaalamu tafadhali, tuache Mambo ya mitaani tafadhali, hivi unataka ushahidi wa kisayansi upingwe na maandamano?[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Nataka mtambue kwamba Kenya ni nchi Hatari sana Afrika.

Kuna sababu ofisi nyingi kubwa za kimataifa zimepiga kambi Nairobi. Toka huko nyumba viongozi wa Kenya kuanzia Kenyatta walishirikiana vizuri na Marekani na Uingereza katika ubepari wa kuinyonya Afrika.

Ukiangalia historia, ndiyo maana hata Jaramogi Oginga Odinga alifarakanishwa na Kenyatta akajiuzulu umakamo wa rais na kuwa mpinzani. Mpaka leo tunaongea kama mpo makini, juzi tu Raila amepokonywa ushindi, walionyooshewa vidole kushiriki kwenye uchakachuaji ni Uingereza na Marekani. Kwanini, Raila anaegemea sana kwenye social welfare system kuliko capitalism, maana yake ni kwamba, uraisi wa Raila hauna tija kwa mataifa kama Marekani na Uingereza ila Ruto ni rahisi kumtia kibindoni.

Tizama ujumbe alioutuma Joe Biden kuhudhuria sherehe ya uapishaji wa Ruto, ulikuwa ujumbe mkubwa na muhimu sana, baada ya hapo, wakakutana na Ruto DC, na wiki hii tumeona ujumbe mwingine wa Marekani ikulu ya Kenya, baada ya hapo kilichofuata ni tangazo la Ruto kutoa zuio la GMO.

Tayari Ruto ametekwa na ni Hatari sana kwa maendeleo na mustakabali wa taifa la Kenya.

As things stand now, Ruto might be the most bogus president soon in Kenya in the recent times.
Mkuu upo kijiwe gani nikufuate?[emoji23][emoji23]

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Tutapanda GMO Kila mahali Kenya!!!
Tupande pia Mahindi ya GMO ya Drought resistant!
Walioturingia na Mahindi wakae nayo!😃Tutakuwa Kama Egypt!vyakula vimeage haraka haraka!!!
 
kama unadhani matumizi ya GMO ni sahihi na unapigia chapuo basi your worldview perception is very weak na hujui mpaka sasa nini kinaendelea kuhusu hizo GMO. Fanya kauchunguzi kadogo utaona namna ambavyo zinapigwa vita, na kuna nchi zimeacha mbegu hizo kutokana na madhara yake kwa binadamu.

hata hapa tz, mahindi ya GMO si rahisi kuyatunza, ukiweka ghalani inakulazimu kuyatilia dawa kila baada ya miezi kadhaa na baada ya muda fulani si zaidi ya mwaka yanatakiwa yatumike la sivyo yanaharibika yanapukutika tu hata kwa mkono yanasagika.

achana na hizo documentary za kibiashara
Tutafute mbegu zetu za asili zile zinazoota na ukipanda tena zinaota. Sio haya mambegu takataka yanayokwenda kuharibu kinga ya mwili ndio maana huko Ulaya kuna kansa hadi ya nywele kansa za kila aina kisababishi ni hayo matakataka mnayoita mbengu za kisasa.
 
Ukivuna mazao ukapanda mbegu hizo nyingi hazioti, maana yake lazima ukanunue tena badala ya kutumia mazao yako kama mbegu, kwenye matunda nimeona maembe asilia ambayo huko nyuma yalikuwa hayaathiriki na wadudu hivi ssasa yanaharibiwa na wadudu
Hizi ni za kupiga vita sana. Sisi hapa chakula tunaweza kupata cha kutosha bila shida.
 
Mbona ukifuga kuku ni lazima ununue vifaranga wengine, je kusingekuwepo Hawa kuku na tungeendelea kutegemea kuku Hawa wanaotaga na kutotoa watoto, Dunia Leo ingekuwa wapi?. Hivi ni ajira na faida kiasi gani vinapatikana kwa kufuga Hawa kuku wa kisasa ambao wewe unapinga eti kwa kigezo cha kununua mbegu upya?

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Tunaweza kuachana nao kwani tunashindwa wadhani?!
 
Kwahiyo wewe na hao maprofessor waliobobea katika hiyo gani, nani mwenye Elimu ya GMO?, Wacha story za vijiweni, Africa tutaendelea kubaki nyuma tukiendelea kuendeleza ujinga Kama huu

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Bora tubaki nyuma kuliko hiyo GMO.Niliposikia wakenya wameruhusu nimeogopa sana maana kwa vyovyote wakiikubali na sisi Tanzania lazima zitafika tu.
 
kama unadhani matumizi ya GMO ni sahihi na unapigia chapuo basi your worldview perception is very weak na hujui mpaka sasa nini kinaendelea kuhusu hizo GMO. Fanya kauchunguzi kadogo utaona namna ambavyo zinapigwa vita, na kuna nchi zimeacha mbegu hizo kutokana na madhara yake kwa binadamu.

hata hapa tz, mahindi ya GMO si rahisi kuyatunza, ukiweka ghalani inakulazimu kuyatilia dawa kila baada ya miezi kadhaa na baada ya muda fulani si zaidi ya mwaka yanatakiwa yatumike la sivyo yanaharibika yanapukutika tu hata kwa mkono yanasagika.

achana na hizo documentary za kibiashara
Jamaa mtupu sana kwenye hii maneno ila ghafla kawa expert! Yaani tutoke kwenye indigenous self dependence seeds and self sufficiencies twende kwa Monsanto dependence on patented commercial oriented biomanipulated seeds. Huo utakuwa ujuha! Mbona tusiwe na seeds bank yetu na ku-patent indigenous seeds?
 
Geza wewe Elimu yako ni Elimu ya hovyo Sana, sijui umesoma "field gani ". Nani amekuambia kwamba tumekatazwa kuzalisha mbegu zetu wenyewe, msikilize huyo Proffesor katika hiyo video anajibu hayo maswali yako au huo wasiwasi wako. Tafadhali jifunze kubaki katika maeneo machache ambayo huko umebobea zaidi, wacha kujifanya unajua kila eneo.

Back
Top Bottom