Kwanini tuendelee kutumia cash money wakati kuna technology huwezi pingana na technology. Ni sawa ung'ang'anie redio cassette wakati siku hizi miziki unaweka kwenye flash. technology inabadilisha kila kitu. Kutembea na pesa mfukoni kwanza siyo safe lakini kama unaweza kuwa na kadi au mobile wallet ukafanya transaction ni bora zaidi. Kwanza haina ile oh nimekosa change, au Oh hii noti imezeeka sana.
Haya ni mabadiliko lazima yatokee, kama tulivyoacha kutumia sana barua za posta tukaamia kwenye msg na email. Same as money, technology inabadili mifumo, Visa, Upay, Mastercard, Paypal, Mpesa, Tigo Pesa, ni quick easy and reliable.