This is what is going to happen globally in the very near future. Get prepared

Wow!
 
Vichwa vyepesi vinadhani hii ni mipango ya muda mfupi.Tunasogezwa taratibu Sana.Sasa hivi process inayoendelea umeitaja hapo juu
ya "ELIMINATION OF CASH MONEY"
Vodacom wamesha introduce master card so mdogomdogo tunaelekea kwenye CASHLESS.
 
Kuna kitu ipo imetegwa ktk bahari ya Pacific Ina uwezo wa kusababisha majanga yote hayo artificially na binadamu akadhani ni janga la asili. Hii kitu km sijakosea inaitwa HAARP MASHINE.Unaweza kugugo.
 
Usingekuwa sahihi zaidi mkuu,hongera kwa kuliona hilo.We are there already.
 
Kuna kitu ipo imetegwa ktk bahari ya Pacific Ina uwezo wa kusababisha majanga yote hayo artificially na binadamu akadhani ni janga la asili. Hii kitu km sijakosea inaitwa HAARP MASHINE.Unaweza kugugo.
Ni kweli mkuu,inaitwa HAARP(High Frequency Active Auroral Research Program).Major station ipo Gakona,Greenland,lakini ina sub-stations.Hii ina uwezo wa ku-heat up the Ionosphere of any location in the world na ku-cause any desired weather change.It is simply deadly.It's a DARPA(The Defense Advanced Research Projects Agency)
facility.

Ni conspiracy
Usidanganye wenzio mkuu, this thing is real,mbona iko wazi?The Bildeberg group members talk about it openly, the World Economic Forum members talk about it openly,other World leaders talk about it openly,ninyi mnaishi dunia gani!Wake up guys,mmelala sana,dah!
 
How can you imagine such a thing.Do not bury your heads in the sand,please wake up,face the reality and prepare.The great reset is hear already.
Mkuu,nimemkibu swali lake huyo dada,
Concerning your topic i agree most of the things,baada ya kifo cha cash money watu wengi ndo watashtuka where the world goes
 
Mkuu,nimemkibu swali lake huyo dada,
Concerning your topic i agree most of the things,baada ya kifo cha cash money watu wengi ndo watashtuka where the world goes
And cash money is disappearing fast,sijui watu hawaoni!Ajabu sana.
 
Kuna watu wamepinga huko juu mie nawacheki hii wanadai kuwa ni conspiracy Mara walisema kuwa maiti zitagazaa mitaani kwa afrika.
Immunity yetu very strong ila kwa saivi hakuna kitu mana unakula litikiti ,linanasi likubwa balaa angalia yaliyozagaa kwa dar so chanjo wanazotupa lazima king a ishuke tuwe kama wao tu.
Hizo huwa ni matukio ya muda ujao sana hata kama sio Leo hii.
Paper money inakufa soon tutakuwa na kizazi cha cashless cash
 
Ukafanya
Utafanya wapi research wapi ama unajidanganya ivi Unajua kuwa unachokijua watu walipanga ujue mpaka hapo upeo Wa ulio nacho mkuu.
Kila kitu unapewa kama mtoto. Hata mambo zinazowekwa kwa internet Ziko controlled pia kuna mambo mengine sio ya kuweka public mpaka MTt ayajue
 
And cash money is disappearing fast,sijui watu hawaoni!Ajabu sana.
Kwanini tuendelee kutumia cash money wakati kuna technology huwezi pingana na technology. Ni sawa ung'ang'anie redio cassette wakati siku hizi miziki unaweka kwenye flash. technology inabadilisha kila kitu. Kutembea na pesa mfukoni kwanza siyo safe lakini kama unaweza kuwa na kadi au mobile wallet ukafanya transaction ni bora zaidi. Kwanza haina ile oh nimekosa change, au Oh hii noti imezeeka sana.

Haya ni mabadiliko lazima yatokee, kama tulivyoacha kutumia sana barua za posta tukaamia kwenye msg na email. Same as money, technology inabadili mifumo, Visa, Upay, Mastercard, Paypal, Mpesa, Tigo Pesa, ni quick easy and reliable.
 
Ukiamini sana conspiracy theories unaweza ukawakimbia wazungu
Kama Haya yatapo watajijua wao sisi kutuweza labda walete sindano zao za kutudhuru tu
Ila pamoja na hayo watafiti wa madawa na whistleblowers wapo
Hizo cryptocurrency zao waendelee nazo tu
 
Naunga mkono hoja
 
Conspiracy tu haya mambo ya world order toka yameanza kuhubiriwa hadi wengine walioyahubiri tushawazika. Hili litapita tu kama yaliyopita mengine.
Hata waliotuhubiria kuwa Yesu anarudi wengi wameshayeyuka kwenye makaburi yao,and still unaamini.
 
Hata waliotuhubiria kuwa Yesu anarudi wengi wameshayeyuka kwenye makaburi yao,and still unaamini.
Nani kakwambia mimi ninaamini? Mimi hakuna ninachoamini kinachohusiana na hizo mambo.
 
nipe theory ambayo ilitabiriwa kama hivi na ikaja kutokea kweli.

bina damu wote wapo Duniani kwa lengo moja. kuepuka kifo ili uishi maisha marefu.
na mara nyingi Tunafanya research ili tupate majibu ya matatizo yetu
Back in 2013 nilisoma theory flani kuhusu corona,and as we chat it is in the wall!! Wanna dig?
 
Mabadiliko hayo yasingekuwa na nia ovu ingekuwa fine.Tatizo ni kwamba yana agenda ovu ya human control and enslavement.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…