This is what is going to happen globally in the very near future. Get prepared

Mabadiliko hayo yasingekuwa na nia ovu ingekuwa fine.Tatizo ni kwamba yana agenda ovu,human control and enslavement.
Nia ovu ipi, hata wewe ukiwa na capital unatafta vibali unaanzisha mobile wallet. Hujaona Chipper Cash, Mpesa wazo lilizaliwa Africa hapo Kenya tu. Au na hilo wazo limetokana na hao unaodai wanaondoa cash? Everything is turning into digital hata pesa hainabudi kuwa digital tu hakuna namna.

Mimi mwenyewe ni kwamba sina capital ila nina wazo la digital wallet ipo siku ntalifanyia kazi.
 

Ulichokieleza ni conspiracy theories.
Dunia ni sehemu salama ya kuishi wala hakuna pre planned yoyote.
 
Tanzania hii kitu haiwezekani kwani tulivuka ule mtego wa kwanza hivyo kupatikana leo hiyo nd lock down sio yetu. Tuliomba kwa siku 3 tukapona kabisa sasa hii ya pili tutaomba siku 6nayo itapitia huko huko kwa majirani haitaingia kwetu,MSIOGOPE
 
Kwa hili nililoliona hapo sina budi kumpongeza sana JPM.

Kwa namna tunavyokwenda inaonyesha labda sisis Watanzania ndo Waisraeli wa kweli maana lile taifa pale Mashariki ya Kati lilianzishwa mwaka 1948...
 
God is there for us, nothing to fear about. They planned long time ago to control mankind but are still struggling up now. The conspiracies shall never be revealed in anyhow till God decides.
 
God is there for us, nothing to fear about. They planned long time ago to control mankind but are still struggling up now. The conspiracies shall never be revealed in anyhow till God decides.
Mkuu this is wishful thinking.Hata Biblia yenyewe imeweka wazi kwamba a World fully controlled by Satan will come.And by all counts and signs,it is not around the corner,but here already.Ni mjinga tu asiyeweza kuliona hili.In fact the time line is latest by May 31st.2021.So get prepared,do not bury your head in the sand.Na usisahau kwamba to God one day is equivalent to 1000 years.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…