This is what you should invest in your area if you have no idea in any business.

Arusha vipi? Send me ur contacts for further arrangement, nadhani am interested
 
Arusha vipi? Send me ur contacts for further arrangement, nadhani am interested

Arusha tupo sana. kuna wakala pale Moshono, Kijenge, Kwa Mrombo, mjini kati pale makumbusho, Olasiti, makumira, Suye nk. I will be in Arusha as of 26th for a big promotion pale kwa Mrombo and Namanga.
 
safi saana. tujuze taratibu za kiusalama iwapo nataka kutumia gesi nyumbani. ikiwa ni pamoja na njia za kiusalama za kuweka mitungi ya gasi... niijengee uzio wa matofali? pls inform
 
mkuu kiluvya madukani hakuna kabisa hii huduma ya gas wakazi wa hapa hulazimika kuifuta hii huduma mail moja au kibamba nataka nichangamkie fursa hii, inawezekana?
 
salam mkuu, naomba unipatie contact zako nikutafute, nahitaji sana that bussines niko wazo hill.
 
Hii kitu ni Dar tu au na mikoani?
 

Mkuu,me nipo Shinyanga mjini.Naomba nipatiwe hiyo fulsa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…