LPG ni moja ya nishati mbadala ambayo ni rahisi na rafiki kwa mazingira, Tatizo linakuja kwa makabaila (so called capitalist) wanapenda kula kwenye migongo ya raia (parasites), Mtungi wa gesi unauzwa kwa Kg? Na sio ujazo? Ni Tanzania tu. Ni nini wajibu wa shirika la Maendeleo la Petroli? (TPDC) kwenye hili?
Kuna nchi nyingine vilevile huuza kwa uzito badala ya ujazo. Mimi nadhani ni nzuri kuuza kwa uzito badala ya ujazo kwani ni rahisi kuhakiki uzito na siyo ujazo.