This is what you should invest in your area if you have no idea in any business.

This is what you should invest in your area if you have no idea in any business.

LPG ni moja ya nishati mbadala ambayo ni rahisi na rafiki kwa mazingira, Tatizo linakuja kwa makabaila (so called capitalist) wanapenda kula kwenye migongo ya raia (parasites), Mtungi wa gesi unauzwa kwa Kg? Na sio ujazo? Ni Tanzania tu. Ni nini wajibu wa shirika la Maendeleo la Petroli? (TPDC) kwenye hili?

Kuna nchi nyingine vilevile huuza kwa uzito badala ya ujazo. Mimi nadhani ni nzuri kuuza kwa uzito badala ya ujazo kwani ni rahisi kuhakiki uzito na siyo ujazo.
 
Ok ngaja nipitie hayo maelezo na docs niingie kwenye augent mbagala.
=====================
Ukipata Ujumbe wa chuki matusi futa delete kabisa
=====================
 
Kuna nchi nyingine vilevile huuza kwa uzito badala ya ujazo. Mimi nadhani ni nzuri kuuza kwa uzito badala ya ujazo kwani ni rahisi kuhakiki uzito na siyo ujazo.

what is the difference ya kuuzwa kwa ujazo{volume} au uzito{tungamo},kwan density ya butane ina change kulingana na vipimo? Ukipima kwenye mzani au cylinder density ya butane ina change?
 
Sisi wa mjini tumekelewa lakini kama lengo ni kupata wateja wengi zaidi hasa watanzania wa kawaida basi ungetumia lugha moja adhimu ya kiswahili ambayo hata babu yangu kule kijijini angeielewa.
 
KVM
Mkuu, BUTANE kama Liquefied Petroleum Gas, ikiwa kwenye mtungi inakua katika hali ya kimiminika, sasa mwananchi wa kawaida atajuaje kama ule mtungi wa gesi wa Kg 15 au 25 ameuziwa ujazo au uzito wa mtungi?
 
Last edited by a moderator:
Vipi Bagamoyo mmeshapata?

Bagamoyo yupo lakini naona baado his still in limbo. Kwa kutegemea sehemu ulipo, kama unaitaji ni PM, ili tufanye utaratibu wa kutembelea eneo lako kwanza. System yetu ni kwamba mawakala wetu hatutaki wawe karibu karibu lazima kuwe na distance isio pungua 150m na kuendelea.
 
KVM
Mkuu, BUTANE kama Liquefied Petroleum Gas, ikiwa kwenye mtungi inakua katika hali ya kimiminika, sasa mwananchi wa kawaida atajuaje kama ule mtungi wa gesi wa Kg 15 au 25 ameuziwa ujazo au uzito wa mtungi?

Mtunji ukiwa empty uko na uzito wake na umeandikwa kwa kila mtungi. Mfano, mitungi ya oryx na Mihan utakuta imeandikwa 30.1, 30, 29.5 nk. Sasa kipima huo mtungi kwenye mizani ukiwa hauna gas, napata 15.1 kwa mtungi ulioandikwa 30.1 hii inamaana kwamba gas balance ni uzito wa gas. Na kwa mtungi mdogo wa 6kg pia utakuta umeandikwa 14.5, au 14, au 15.1, au 14.7 nk ukipima huu tungi kwenye mizani utakuta kwamba uzito wake ni 8.5, au 8, au 9.1 nk hii inamaana kwamba gas ikiwemo lazima iwe yenye uzito wa 6kg. Ndio maana inasisitizwa sana ukinunua gas lazima upimiwe ili upate unacho stahili. Sheria ya EWURA hairuhusu dealer yeyote kuuza mtungi wa gas ujazo haujatimia. Kama mtungi umeanzikwa 30.5 ukipimwa kwenye mizani ya kg lazima usome figure hizo hizo. Ukisoma zaidi inamaana gas imewekwa zaidi, hapo safi. Lakini haitakiwi kusoma chini ya figure ilioandikwa kwenye mtungi. KUPIMIWA NI LA ZIMA NA SIO OMBI. Hiyo ni sheria kutoka EWURA.
 
Ok ngaja nipitie hayo maelezo na docs niingie kwenye augent mbagala.
=====================
Ukipata Ujumbe wa chuki matusi futa delete kabisa
=====================

Just for your info; kwa upande wa Mbagala tunaweka mini deport ambayo tuta outsource hii ni kutokana na population ya Mbagala na forecast yetu. Kwa upande wa vibali kwa muuza gasi yeyote lazima uwe na kibali cha Fire, TIN, na leseni ya biashara.
 
what is the difference ya kuuzwa kwa ujazo{volume} au uzito{tungamo},kwan density ya butane ina change kulingana na vipimo? Ukipima kwenye mzani au cylinder density ya butane ina change?

Mimi sizungumzii density bali weight. Nijuavyo mimi kila kitu kina weight fulani. Ule mtungi ulioandikwa 9kg ukiupima kwenye mizani ya kupimia uzito ukiwa umejazwa gesi utakuwa na hizo 9kg. Kama hauna gesi kabisa basi uzito wake utakiwa chini ya 9kg.
 
KVM
Mkuu, BUTANE kama Liquefied Petroleum Gas, ikiwa kwenye mtungi inakua katika hali ya kimiminika, sasa mwananchi wa kawaida atajuaje kama ule mtungi wa gesi wa Kg 15 au 25 ameuziwa ujazo au uzito wa mtungi?

Huenda sielewi vizuri maana ya zile Kgs zilizoandikwa kwenye mtungi. Mimi nadhani zinamaanisha ni uzito wa mtungi ukiwa umejazwa gesi. Kama ni uzito wa mtungi bila kitu ndani bado hakijaharibika kitu. Wauzaji au serikali inabidi ituambie ule mtu wa 9kg au 25kg n.k. unakuwa na uzito gani baada ya kujazwa gesi. Mimi nitajua kirahisi kabisa kama nimeibiwa kwa kuupima mtungi huo kwenye mizani ya kupimia uzito. Aghalabu itakuwa ni vigumu kwa watu wengi kupima ujazo wa gesi iliyoingizwa kwenye mtungi.
 
Mkuu mtungi ulioandikwa 30.1, ua 30.5 au 29.9 inamaana kwamba huo ni uzito wa mtungi na gas ndani yake. Ila kiwango cha gas katika mitungi ni 15kg. Hii inamaana kwamba mtungi wa 30.1kg ukiupima kwenye mizani ukiwa hauna gas ndani, uzito wake ni 15.1kg Kwahiyo mkuu kila uedapo kununua gas hakikisha umepimiwa kwenye mizani. Kama mizani ikisoma chini ya kiwango kilicho andikwa kwenye mtungi, inamaana kiwango cha gas ndani ya mtungi ni chini ya 15kg. Umeibiwa. Akikisha unapata kiwango kamili kama ilivyo andikwa kwenye mtungi.
 
mnahitaji mtu mwenye capita minimum kiasi gani

Mtaji wa kwanza ni muda wako
Mtaji wa pili ni uwezo wako wa kujenga customer relationship
Mtaji wa tatu ni kiasi cha pesa kama 1.2m (kama huna hicho kiasi unaweza kopeshwa kwa kuzingatia vigezo na masharti)
 
Nashukuru mkuu,mi nipo wilaya ya Muleba.ninaishi tarafa ya nshamba kuna population kubwa na waweza kuhamasishwa kutumia gas.mtaji huo naweza kuupata naomba ushauri nifanyeje kuweza kuwa wakala wenu.chumba cha biashara ninacho.japo kwa huku inaweza kuwa biashara mpya kwa walio wengi, hivyo itahitaji uvumilivu na muda watu kuja kuielewa na kuitumia.nipo tayari kuwa wakala.
 
Mkuu kusema kweli kutokana na distribution channel yetu Muleba hatutaweza kufika kwa sasa labda hapo mbeleni. Ila nategemea utakuwa mteja wetu endapo tutafika huko. Kama oryx au Lake Gas wapo naweza kutafutia namba ya muhusika mkafanya biashara.
 
Plz ni pm Wazo ninalo na Mimi Milanzi wa tegeta ..... Let's talk
 
Back
Top Bottom