The Hunter
JF-Expert Member
- Dec 25, 2010
- 1,049
- 306
Kwanza pole sana kwa uliyopitia.
na Pole zaidi kwa kumpoteza baba pamoja na babu..
Nadhani kwa kila mtu ni tofauti
Hii situation yako nimeona sana na
binafsi nimekumbana nayo ila kwa mimi
ni baba ... ni wanawake wachache sana
wanao kataa au kutowatunza wanao lakini
asilimia kubwa nilioongea nao ni baba ndo anaekimbia familia..
Pole sana kwa yaliyokukuta. Nakushauri dont generalize, pia usijudge wamama wote kwa mama mmoja aliyekosa utu. It was bad luck for you, tuna kina mama walio wazuri mmo, potential , care, na wamelea watoto bila hata baba zao.
Pole mno. Muombee kwa Mungu, siku moja atayajutia, though it wil be too late.
IGWE,there is nothing to hide,kama kuna wakina mama wasiojijua lazima tuseme,kama hawataki,to hell!
Dena,nani kama mama for what?Kama mtu ameteseka kwa miezi tisa halafu anakufanyia mambo ya ajabu ana maana?Trust me hakufanyiwa lolote baya na baba!I'm sure of that!Awe ni baba yangu wa ukweli ama la i don't care!What i knw ni kwamba alinilea na kunipenda kwa miaka 27 mpaka alipofariki,what else should i care?
Katavi,haya ni ya kusikia tu,usiombe yakukute!
Hivi unaongelea nini , umesoma vizuri nilichoandika.
pointi yangu ni kwamba wa baba wengi ndo wanaokimbia
familia zao.. na wanawake wachache naomba rudi juu soma tena asante..
Pole sana; I understand every word. I am a woman na mama yetu alituacha tukiwa at the tender age. Mimi nikiwa mtoto niliachiwa jukumu la kulea mdogo wangu ambaye alipofikisha miaka mitatu alifariki nikimbeba; and it is an experience that I cannot forget even after many years. I have sked myself time and again, "why"? I have tried to understand mama atawaachaje wanawe? Mimi ni mama and I cannot understand how on earth I would leave my kids and not see them...I never put back my mom until she died...we grew up with our dad (RIP)....My brothers, my sister and I all got married when she was alive and never attended any of our weddings....so these things, though rare, are there and they leave a great wound to those who are affected. But God can heal your wound...forgive and move forward...be the best parent to your own children.