Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kokutona,i dont have family,also hii haijaniathiri lolote,so nitakua mzazi na baba mwema sana kwa wanangu!
King'asti my dear,faham hakuna matatizo aliyokua anayapata kwa baba,babu mzaa mama ndo shahidi,hata kama mfano yalikuwepo hata kututafuta?Hata kutujulia hali?Baba hakuwahi kumkataza hata mara chache alizokuja wakati mwingine aliletwa na baba!
Pole sana.King'asti my dear,faham hakuna matatizo aliyokua anayapata kwa baba,babu mzaa mama ndo shahidi,hata kama mfano yalikuwepo hata kututafuta?Hata kutujulia hali?Baba hakuwahi kumkataza hata mara chache alizokuja wakati mwingine aliletwa na baba!
Hili ndilo neno la Mungu. Wathibitishie kina mama kuwa hata sisi wanaume tunaweza kulea.Babu Aspirin usijali nitafuata mfano wa baba,nitakua baba mwema sana kwa wanangu!!
Pole sana,naomba unielewe sikulazimishi kunielewa nikiwa kama mwanamke kumbuka kua MAMA ni mama tu na hakuna atakae chukua nafasi yake
hujui nini kilimsibu mpaka akatoweka siamini kama aliwaacha bila sababu ya msingi,au jaribu kukanae chini umulize kila suali linalokukera ndani ya moyo wako lazima atakua na sababu, kuto kuja kwenye msiba wa Mzee wako pia hakumfanyi wewe umchukie sababu walisha achana juuyakua alikua mzazi mwenzie,na usisahau labda alikua na majukumu najua una uchungu kulelewa na mzazi mmoja wakati mama yuko hai niamani atakua na sababu yakufanya alio yafanya nenda kamuone Mama kaanae chini muongea am sure mtayamaliza kwa salama na amani.
Aisee,
Situation yako imenitia huzuni kwa kiasi fulani. But kumbuka hakuna kama Mama are you sure huyo unayemwita Baba yako (RIP) alikuwa ni Baba yako kabisa siongei kwa ubaya tafadhali nielewe. But mama huwezi singiziwa hata kidogo, unajua kuna kitu hutokea usimlaumu sana mama yako hujui ni kwa sababu gani walitengana na baba yako na nini kilimtia hasira kiasi hicho. Mpaka akawa anawachukia watoto wake but acha nikwambie ukweli hata kama unasema hataki kuwaona but ukweli uko pale pale mama hapo alipo huwa anasikia uchungu na kuwakumbuka watoto wake asikwambie mtu bana. "UCHUNGU WA MWANA AUJUAE MZAZI"
Kweli nimeamini unamchukia mama yako, japo ulisema humchukii.
Asprin itafika mahali nani kama mama itapoteza maana, watu wamezoea kutamka tu kwa kufuata mkumbo.Hili ndilo neno la Mungu. Wathibitishie kina mama kuwa hata sisi wanaume tunaweza kulea.
Nani kama BABA?
Ni kweli kabisa kwa upande wako..je vipi na waliokimbiwa na baba zao? Wakalelewa na mama tu?Kweli babu ODM hakuna kama Baba!Huo ndo ukweli mchungu ambao kuna watu hawautaki!
Sante sana.Sweelady,na wao nao ni hivyohivyo hakuna tofauti hapo.Adhabu ni ileile!
Hi natumai mu wazima!Hey plz woman don't get angry with me!Natumia mimi mwenyewe kama mfano;Nilizaliwa pamoja na ndugu zangu wawili hivyo tukawa wa3,wakati tukio linatokea mimi ndo nilikuwa mdogo kuliko wengine,mama yetu alitutelekeza jioni na kwenda kuolewa na mwanaume mwingine,wakati huo my Late father(may his soul rest in peace)alikua amesafiri kikazi,toka siku hiyo sikumwona mama mpaka nilipotimiza umri wa miaka 13,tuliishi na baba bila ya baba kuoa coz hakutaka mapema tuteseke,mama alipokuja alituona kwa dakika chache tena kwa kulazimishwa na baba,Alipoondoka sikumwona mpaka nilipotimiza miaka 25 alipolazimishwa na marehem babu(apumzike kwa amani)ambae ni baba yake,tulikuja kuonana tena hosptl wakati babu anaumwa na hapo ni baada ya miaka mi3,mara ya mwisho nilimuona mwaka jana nilipoamua kwenda kumwona,kumbuka kwenye msiba wa baba hakuja,to be hornest with u,i don't feel anything for her!Pia sijui umuhimu wake,wala sijui mapenzi ya mama.Napenda nieleweke kua simchukii,najua yeye ni mama yangu,alinizaa na alininyoshesha,lakini haza ni majukumu yake!Hajawahi kunishawishi kwa njia yoyote kuwa yeye ni mama!Sasa kama huyu aliesikia uchungu kwaajili yangu yupo hivi,nitaona vipi umuhimu wa akina mama?Je kama mimi tupo wangapi?JE NI NANI KAMA BABA,I LOVE HIM MUCH,I WISH HE COULD BE HERE!