Pole sana kwa yaliyokupata.Ubaya au ukatili hauna jinsia!
Maoni/fikra za wengi ni kuwa mama ndio mwenye uchungu na wanawe. Nikisoma mkasa wako unanifanya nirudi kwenye mijadala mingi hapa JF
inayozungumzia kwanini wakina mama hawaondoki wakazikimbia ndoa zao zenye mateso.Kina mama wengi wenye uchungu na watoto wao, wenye kuweza kutafakari kwa kina madhara ya kuwaacha watoto na kwenda kuanzisha maisha mapya, basi huahirisha milele kuziacha ndoa zao.Wako tayari kujitolea au kutoa mhanga furaha zao kwa ajili ya furaha ya watoto wao.
Bahati mbaya huyo mama yako ni mmoja wa wale wachache sana wanaosema hawawezi kuvumilia ndoa zisizo na furaha.
Hakuna kitu kinauma kama kufikiria mateso mwanao atakayoyapata wakati wewe uko hai hapa duniani. Pia siwezi kukulaumu wewe kwa kukosa hisia kwa mama yako maana kwa kawaida ukaribu wa mama na mwana hujengwa utotoni katika kile kipindi cha "formation" ambapo mtoto anajifunza upendo, kuamini nk.
Wazazi wanatakiwa wajue kuwa mangumi yao na mambo ya fujo hayawahusu watoto.Wanasababisha sida sana kwa watoto!
ww naww kaa kimya tena upitiliye mbali ,mana hapa wote ni wapita njia hakuna ajuaye siri zaidi ya huyo mama na marehemu mumewe so sote hatuwezi kusema lolote zaidi tuna guess tu tatizo lilikua nn hasaWewe mshukuru Mungu kwa kuwa hujapitia waliyopitia wenzako kwahiyo mtu akitoa dukuduku lake usiseme analalama.......hujui machungu yake ni bora ukae kimya. Amuulize ili iweje????je akimjibu baba yako alikua muuaji ikabidi nimkimbie ndio itakua inamsaidia nn Eiyer kwa sasa???!!!maana baba ameshafariki anaweza kusingiziwa chochote marehemu wa watu. Tatizo letu wanawake always tunapenda kuonewa huruma wakati ni wanafiki tu.
pole sana ila nasisitiza ongea naye koz she is ur momy okAMINATA,ni bora ukatili wa baba kuliko wa mama,asikwambie mtu,usikie kwa jirani tu,mama ndo anakua muda mwingi na watoto,hebu fikiria anapokuwa mkatili inakuaje?Au anakimbia!