This is Why It's Said Not Yet Uhuru in Kenya: Large Tracks of Fertile Land is Under Their Former Colonial Master's Heirs

Apelekwe kwa vyombo husika, labda awe ameoa hapa anaweza kusingizia kuwa ni ardhi ya mkewe.
Naemjua ni dada,juzi kati kishaolewa na mbongo,yan demu hataki hata kuisikia kenya,ana mama wa hiyari wa kibongo na ndio familia yake kwa sasa
 
Kweli nimemini ya kuwa wewe umebakiwa na akili ya kuvuka barabara n kurudi nyumbani pekee.
 
South Afrika imepata Uhuru 1994 lakini watarudisha ardhi yao kwa wananchi muda sio mrefu, ninyi wapumbavu miaka 56 bado mnazunguka kulalamika wakati wazungu wanakula raha.
 
South Afrika imepata Uhuru 1994 lakini watarudisha ardhi yao kwa wananchi muda sio mrefu, ninyi wapumbavu miaka 56 bado mnazunguka kulalamika wakati wazungu wanakula raha.
Inakuwasha nini? Shughulika na mapanga ya kuwakatakata wapinzani.
 
Inakuwasha nini? Shughulika na mapanga ya kuwakatakata wapinzani.

Aha ha ha
Hiyo dozi aliyokupa joto la jiwe imekuingia mpaka kwenye mfupa. Ona sasa unavyoropoka.
Acheni ujinga, twaeni ardhi yenu, mnawaachia vizee vihangaike na ardhi, nyie wenye nguvu kazi kulamba miguu ya wakoloni. Hivi vizee vina akili kuliko wakenya vijana. Inasikitisha kweli.

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…