Mgagaa na Upwa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 13,481
- 28,116
Naemjua ni dada,juzi kati kishaolewa na mbongo,yan demu hataki hata kuisikia kenya,ana mama wa hiyari wa kibongo na ndio familia yake kwa sasaApelekwe kwa vyombo husika, labda awe ameoa hapa anaweza kusingizia kuwa ni ardhi ya mkewe.