This is why Millie Odhiambo cannot be arrested despite insulting Uhuru

We wont really know what side will win...but Kenya follows African trend

In
Cape verde
Nigeria
Ghana
Morocco
Mauritius
Brukina Faso
Gambia

All this countries have seem opposition coalitions winning

Just saying let them not be soooo sure watashangaa next year ama tutashangaa

Either way The winner will have won By a Land slide
 
Sawa mkuu, mjuwe tunawaombea huku.
 
Personally i am not too keen on who wins but just like i was pissed of by the US election outcome, the winner should not be decided based on mudslinging, racist, distortion of facts and the like. I have long stopped watching Kenyan news until maybe after the elections but i wish there is something to look forward to in news
 
And Game is over!
 

Ingekuwa kwetu Tanzania huyo mbunge angetolewa nje kwa nguvu na angefungiwa asikanyage bungeni tena.

Hao waliomchagua kwani walimtuma akamtukane raisi UHuru kenyatta? Walimtuma aongee bna serikali matatrizo yao ya mambo kama barabara,elimu,maji ,afya nk yapatiwe ufumbuzi kwenye eneo lake.Hizo siasa zenu za kijinga za kutukana raisi bungeni bakini nazo nyie wenyyewe wakenya.Ila ni aibu kwa mbunge kwenda kwenye bunge kulipuka kwa matusi badala ya kutetea wananchi waliompa kura.Huyo mbunge anatia aibu hajui kazi yake bungeni ni kazi gani.Mkimwona mwambie kaangusha wapiga kura waliomchagua hawakumtuma kuporomosha matusi bungeni siku ingine wasimpe kura huyo.
 
I wish Tanzanian MPs would have the balls to criticize JPM
CRITISIZING AND INSULTING are two different things!!!!

Huyo mwanamke katukana sio ka critisize!! Anaharibu jamii na matusi yake.Watoto wakisikia waweza anza kutukana watu waki kopi matusi yake aliyoporomosha bungeni.

Ni aibu kwa mbunge na ni aibu kubwa zaidi kwa mwanamke kuporomosha matusi publically.Shame on her.
 
Ndio maana mnapigwa na wake zenu. Hamjielewi he shima kwenu no 0
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…