Wishful thinkingI wish Tanzanian MPs would have the balls to criticize JPM
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wishful thinkingI wish Tanzanian MPs would have the balls to criticize JPM
Duuuh!!! umejuaje yaani huyu dcteta wetu alivyoitwa uchwara akamkamata mtu....yaani anamasifa...matusi yoyote ni kukosa adabu. lakini hapa kenya ni mlalamishi aende kortini ashtaki sio polisi akufuate na hakuna mlalamishi aliyetendewa dhihaka kupiga ripoti!! rais kenyatta afikishi repoti kwa polisi au kortini, sheria ya kenya hiyo!!! lakini naomba ujifamishe na neno dictator. ukishapata ufafanusi wa kamusi ya kiswahili sanifu au dictionary ya kizungu utagundua dictator hayupa mbali na wewe!!! bwana magufuli is evolving as one of the damn smiling dictators in Africa!!!
SawaHana adabu
Sehemu pa 50km/hr naomba utembee 50km/hrkutukana hapana ila nimesemea in general unajua wanawapigaga waume zao ? ,... nipo chalinze hapa
Kuna rais aliwah tukana kuwaita watu vilaza.sikumbuk ni nchi ganiHuo niujinga
Matusi kwa Rais yanasaidia nini!!
Yule anahusika vipi na hoja yake!!!
Haya mambo yakusema katiba katiba halafu watu wanapata nguvu yakutukana mpaka Rais!!!
Huwezi kumpinga mtu bila kutukana!!!
Huyo mama kaniboa kiukweli!!!
Sasa vijana wameamua kumdhalilisha mitandaoni !!!
Zima hiyo KBC live kwa bunge!TZ tumeondoa upuuzi huo.watu wanafanya bunge kama platform ya kuondolea stress zaoWhether she can be arrested or not, is neither here nor there. What should be debated is surely what has become of our society, that we have our children watching a full member of parliament spewing insults on a national TV like that in the name of 'bold woman' whatever that means. Whether it was directed at Uhuru or any other person for that matter. Our social fabric is torn into pieces.
I do enjoy the freedom of expression we have in our country, I personally participated in agitation for the same, back in the days when we rioted on the streets and got gassed up in the 90s. It wasn't for nothing, we are the best democracy today in the whole of East and Central Africa. But sometimes we take it way too far in the name of exercising it.
I would rather the media blacked out those insults, right now watching and reading through the social media, guys are insulting each other like crazy. Drums of war and hate all over.
mafanya makusudi naenda chini ya hapo sina haraka .. tena na kababy boy changu wala sikimbiiSehemu pa 50km/hr naomba utembee 50km/hr
Hawa jamaa wenye uniform ngeupe sio kabisa [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Uncle Magu angekwisha zaa nae mapeema huyu mama. Unamtukana rais who are you and whom are you after? Rais labda Rais wa ghetto au Rais wa shirikisho la soka.
Lool tanzanians though!!.....
And why Should i not abuse the president
Kibakis Spent 10yrs calling everyone
MAFI YA KUKU ......
Kama mimi ni Mafi ya kuku
Yeye ni mshenzi
Sawa
Pia wewe una opinion yako
View attachment 448900
Or when Uhuru Kenyatta Said Raila is a Mguruki
Or when Ruto Said Raila ni mganga
View attachment 448901
Truth be told
UHURUTO GOVT HAS CANCELLED AMERICAN AID YA VOTER EDUCATION ABOUT 2.5BN Kshs annually
Reason why:
View attachment 448902
Wanaogopa watu kupata Elimu ya kupiga kura juu wanajua haitawaendea poa too bad Kenyan buy 2.5mn smartphones a year all our parents now at 60 are on whatsapp Kila kitu Uhuru anafanya Kila mtu anajua ....
Next year atapata shock huyo mtu
View attachment 448904View attachment 448905View attachment 448906View attachment 448907
Kuna rais aliwah tukana kuwaita watu vilaza.sikumbuk ni nchi gani
Kuna mkuu mmoja wa mkoa alishawah kumwita mtumish mmoja CHIZI,sikumbuki wilaya gani
Usishangae matus ya huyo mama mbunge maana viongoz wa KISIASA KUTUKANA NI KAWAIDA tuKwahiyo?