Tim Choice
JF-Expert Member
- Sep 28, 2013
- 2,088
- 1,261
Naona leo umefufuka baada ya kuokota hela ya kifurushi cha data.
Hapo kwenu matopeni huwa mnaokota tu hela ,hilo lenu la madafu, sivyo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naona leo umefufuka baada ya kuokota hela ya kifurushi cha data.
depay ni kamanzi kangu karembo ka kikenya.hilo karibia member wote wa jf wanalifahamu.Weye ni nini huwa mnaulizana na Depay?.....angalia husije ukachizi!
depay ni kamanzi kangu karembo ka kikenya.hilo karibia member wote wa jf wanalifahamu.
Hass tower likiisha utasikia wakenya sisi ni league moja na Dubai sasa,Africa hakuna tena mji unasumbua[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Teh teh teh jina lenyewe kwanza majanga eti huruma.Nimetaja sehemu za Kenya bado nashangaa mnavyonijia juu.
Tuonyeshe na huruma slums si zipo nairobi?It is this one going up
View attachment 485418
Teh teh teh Kenya si kama Dubai.Hehehe!! Haya bwana....
Wakenya wanapigwa ban kila uchao bila sababu.Wengine matusi kila kukicha,angalikua Mkenya angelambwa ban tayari!..hii jf imeanza kubore siku hizi,haina mvuto tena...taratibu lazima ijifie tu!
Wakenya wanapigwa ban kila uchao bila sababu.
Wee jamaa unaakili!!!???Kwani nawewe ni mkenya mbona hujakatwa ban??
It is going to host a magnificent state of the art shopping mall like never seen before in Nairobi Kenya.Nimepiga hii picha kwa mbali, yaani vitu vinapandisha Westlands kwa kasi, leo nilikua na shughuli Nairobi mjini nilikua nahisi kama mgeni, majengo marefu mapya sikuyaacha.
View attachment 972553
It is also going to have the first ever Rooftop recreation park in this part of Africa. View attachment Screenshot_20181221-204639.pngNimepiga hii picha kwa mbali, yaani vitu vinapandisha Westlands kwa kasi, leo nilikua na shughuli Nairobi mjini nilikua nahisi kama mgeni, majengo marefu mapya sikuyaacha.
View attachment 972553
The office tower is going to look like this. Very beautifulNimepiga hii picha kwa mbali, yaani vitu vinapandisha Westlands kwa kasi, leo nilikua na shughuli Nairobi mjini nilikua nahisi kama mgeni, majengo marefu mapya sikuyaacha.
View attachment 972553
In general the whole complex is going to look like this.Nimepiga hii picha kwa mbali, yaani vitu vinapandisha Westlands kwa kasi, leo nilikua na shughuli Nairobi mjini nilikua nahisi kama mgeni, majengo marefu mapya sikuyaacha.
View attachment 972553
That's the hotel not the officeThe office tower is going to look like this. Very beautiful
View attachment 974026