This map shows the most dangerous countries in the world for tourists

so Kenya being at position 112 out of the 155 is a good thing?? You have to take responsibility for your own action..Sit down and resolve your issue like man instead of pointing finger in every other neighbour except yourselves...Disrscrimination of any kind wont help you reaching your goals as unified kenyan.....
 

hapo sasa ndiyo tunakuja kwenye suala la kuelewa. Mimi hayo yoote nimeyasoma na kuyajua. lkn Mungu alichonijalia siyo kusoma tu maandishi, bali pia naitafakali kwa kina. hivi kwa akili yako unaweza kuweka Syria Somalia na Tanzania kundi moja halafu na wewe unaamini taarifa hizo na kutuletea watu tuliosoma tena vizuri upumbavu huo. yaani hata kujiongeza kidogo tu unashindwa. unasoma report yenye kina Somalia Afghanistan Libya na Tanzania ndani ya kundi moja halafu unatoka kama zuzu unakimbia huku na huku ukichekelea si ujinga huo.

nenda kasome shule tena ndo uje kujadili na mimi.
 

Kama ulienda shule utasoma na kuelewa kwanini mumewekwa kwenye kundi moja na hao.
 
Kama ulienda shule utasoma na kuelewa kwanini mumewekwa kwenye kundi moja na hao.

jibu ni hili
asiyesoma magazeti (na machapisho mengine) ni mjinga lkn anayesoma magazeti (na machapisho mengi) na kuamini kila kitu anachosoma ni mjinga hata zaidi.
 
Mngekuwa na roho safi msingekuwa msitari wa mbele kuvunja former EAC. Uzuri wa hiyo roho nzuri unayodai kuwa nayo iko wapi?
Na kuzuia vitu vyote pia kuwanyang'anya mali zao watanzania waliokuwa kwenye jumuia upande wa Kenya wamerudi wengine wakiwa wamerukwa na akili kwa kunyang'anywa mali zao, hovyo sana hawa jamaa sijui roho mbaya wanafundishwa shule haiwezekani wote wawe na tabia moja

cc: MK254
 
Akikuelewa nistue maana hawa akili zao wazijua wenyewe
 
Roho mbaya sana lakini sijui tulitegemea nini kutoka kwa wala albino. Inahitaji roho nyeusi sana kuweza kumchinja mwenzako si kwa hasira lakini, kwasababu ya kitoweo tu.
Ila Mungiki wana roho nzuri
 
Wana roho chafu sana hawa jamaa, tena wote walikuwa wakikuyu walioongoza uvunjifu wa huo muungano.
 

mkulu waache tu. maana matokeo yake wanayaona.
dhambi ya uovu siku zote haimuachi mtu salama.
hayo unayoyaona ya watu wa kundi hili kususia kununua bidhaa toka kundi lile. ndo matunda yake haya.
 
[emoji21] [emoji21] [emoji21] kenyan forum always its have cancer coments
Tanzania vs Kenya
 
jibu ni hili
asiyesoma magazeti (na machapisho mengine) ni mjinga lkn anayesoma magazeti (na machapisho mengi) na kuamini kila kitu anachosoma ni mjinga hata zaidi.
Mkuu ujinga haujirudii huyo tunamwita mpumbavu

cc: MK254
 
Pooooovu wakati niliyeanzisha thread nipo kimyaaaaaa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…