This map shows the most dangerous countries in the world for tourists

Geza Ulole

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2009
Posts
65,136
Reaction score
91,917
THIS MAP SHOWS THE MOST DANGEROUS COUNTRIES IN THE WORLD FOR TOURISTS

dangerous-countries.jpg

The map is based on FCO advice / AFP/Getty Images

African and Asian nations were deemed the most dangerous

CHARLES CLARK BUSINESS INSIDERWednesday 1 November 2017 14:36 GMT

CLICK TO FOLLOW
THE INDEPENDENT TRAVEL

The UK Foreign and Commonwealth Office (FCO) has updated its travel advice for Turkey last week after three suicide bombers killed 45 people at Atatürk International Airport in Istanbul.

A new map uses the UK Foreign and Commonwealth Office's (FCO) information to illustrate which countries in the world are considered safe to visit and where caution should be exercised.

[https://static]

(Louis Dore/Indy100)

The map is colour coded:

Green: Safe to travelYellow: Against travel in some parts of the countryRed: Against travel in all parts of the country

African and Asian nations were deemed the most dangerous due to high levels of terrorism and corruption, while warnings have also been put in place for areas of Russia and South America.

Travellers are advised to be cautious while travelling in northern parts of South America, particularly Colombia, due to the Zika virus outbreak, gang violence, and drug smuggling. The FCO's website warns: “In general, the more remote the area, the greater the potential threat to your safety.”

Russia was deemed to be mostly safe, but conflict along the border with Ukraine and further south means tourists should avoid travelling to those particular areas.

A fully interactive version of the map can be seen on the Indy100's original article, or you can see how your country fares on the FCO's website.

This map shows the most dangerous countries in the world for tourists

MY TAKE
Kenya see urself..next week will turn into red [emoji115] [emoji23]
 
Nadhani marekani itakuwa katika rank za juu. maana kule kufyatuliana risasi na kuua kama 15 au 8 au 20 nk ni kawaida siku hizi.
 
Lmao mtangoja

But tuko hapo ndani
Russia
Israel
Egypt
India na Middle east yote ispokuwa Oman!
 
Told you mafisi wala albino wanaombea vurugu na damu imwagike while they pretend to care so much.
 
hizi lugha ambazo unazitoa kwa kivuli cha kutokuwa mnafiki ndizo zilizowafikisha hapo mlipo kama taifa. hasira au dharau mbele BUSARA nyuma zilimponza mr mende kupinduka miguu juu kabla ya kufa.
 
Tafiti fake hii, kwa nini madagascar? kwa nini Russia? kwa nini Arab world?
 
hizi lugha ambazo unazitoa kwa kivuli cha kutokuwa mnafiki ndizo zilizowafikisha hapo mlipo kama taifa. hasira au dharau mbele BUSARA nyuma zilimponza mr mende kupinduka miguu juu kabla ya kufa.

Muna roho mbaya sana, nyeusi ilyojaa chuki, ifikie hatua mjishtukie na kukua. Mnauma na kupuliza, mnajifanya kuiombea amani Kenya huku mkisubiria kwa hamu damu imwagike, bure kabisa.
 
Told you mafisi wala albino wanaombea vurugu na damu imwagike while they pretend to care so much.
Mmekunywa damu ya watu wangapi tangu uchaguzi uanze?
 
Muna roho mbaya sana, nyeusi ilyojaa chuki, ifikie hatua mjishtukie na kukua. Mnauma na kupuliza, mnajifanya kuiombea amani Kenya huku mkisubiria kwa hamu damu imwagike, bure kabisa.
Mngekuwa na roho safi msingekuwa msitari wa mbele kuvunja former EAC. Uzuri wa hiyo roho nzuri unayodai kuwa nayo iko wapi?
 
Roho mbaya sana lakini sijui tulitegemea nini kutoka kwa wala albino. Inahitaji roho nyeusi sana kuweza kumchinja mwenzako si kwa hasira lakini, kwasababu ya kitoweo tu.
 
hebu thibitisha madai yako. coz you thrown to us a very serious allegation.

pili Tanzania tunaelewa umuhimu wa amani na majirani na umuhimu wa amani ndani ya nchi jirani. hatuwezi piga hatua thabiti za kiuchumi ikiwa tumezungukwa na majirani ambao hatuelewani nao pia nchi zao ziko katika hali ya suspense kama ilivyo Kenya. hiyo haina faida kwetu. ni hasara na hatari sana. amani yenu ndiyo amani yetu. leo hii nchi yenu ikigeuka kuwa Somalia huku kwetu itakuwa shida sana maana itabidi tubadili namna ya kulinda mpaka wetu na nyie. si unaona jinsi mpaka wenu na Somalia ulivyo na usalama mbaya? au Libya sasa ilivyo usharoba wa wahamiaji haramu na magaidi wanavotumia kuingia Ulaya??
wazungu wanajilaumu sana but it's too late.
hivyo tunataka muwe na amani ili nasi tuwe na amani. you are our bafa zone. cushioning anything from Somalia.

sema shida mliyonayo ni kwamba a lot of you are half minded. you can't figure out the consequence of your actions. hayo mnayofanya sasa mnayapandikiza bila kujua kwa young generation. mnaweka mambo wazi hata ambayo hampaswi. matokeo ni mgawanyiko.
acha niishie hapo.
 
Mngekuwa na roho safi msingekuwa msitari wa mbele kuvunja former EAC. Uzuri wa hiyo roho nzuri unayodai kuwa nayo iko wapi?

mkulu.
ile dhambi bado inawatafuna. haijawaacha salama. sasa wamegundua hamna nchi moja inayoitwa Kenya, kumbe kuna wakikuyu sijui wajaluo wakamba luhya.
nashindwa kutabiri nini hatima yake.
 
Roho mbaya sana lakini sijui tulitegemea nini kutoka kwa wala albino. Inahitaji roho nyeusi sana kuweza kumchinja mwenzako si kwa hasira lakini, kwasababu ya kitoweo tu.
Nyie mmekunywa damu ya ndg zenu hapo mmeona haijawatosha sasa mnaendeleza fujo ili mpate damu zaidi ya kunywa! mhhh!
 
mkulu.
ile dhambi bado inawatafuna. haijawaacha salama. sasa wamegundua hamna nchi moja inayoitwa Kenya, kumbe kuna wakikuyu sijui wajaluo wakamba luhya.
nashindwa kutabiri nini hatima yake.
Hiyo haitawaacha salama hata kidogo, umeona wameanza kubagua hadi bidhaa za kutumia[emoji23] [emoji23] [emoji23]

Haya mambo yanapatikana ke tu
 
Muna roho mbaya sana, nyeusi ilyojaa chuki, ifikie hatua mjishtukie na kukua. Mnauma na kupuliza, mnajifanya kuiombea amani Kenya huku mkisubiria kwa hamu damu imwagike, bure kabisa.
Kwani sisi ndio tunamwaga hiyo damu yenu? Mapanga mnashikiana wenyewe na kuchinjana wenyewe, hiyo roho mbaya yetu inatoka wapi?
Au ni nani ana roho mbaya hapa?
 
hebu thibitisha madai yako. coz you thrown to us a very serious allegation.

pili Tanzania tunaelewa umuhimu wa amani na majirani na umuhimu wa amani ndani ya nchi jirani. hatuwezi piga hatua thabiti za kiuchumi ikiwa tumezungukwa na majirani ambao hatuelewani nao pia nchi zao ziko katika hali ya suspense kama ilivyo Kenya. hiyo haina faida kwetu. ni hasara na hatari sana. amani yenu ndiyo amani yetu. leo hii nchi yenu ikigeuka kuwa Somalia huku kwetu itakuwa shida sana maana itabidi tubadili namna ya kulinda mpaka wetu na nyie. si unaona jinsi mpaka wenu na Somalia ulivyo na usalama mbaya? au Libya sasa ilivyo usharoba wa wahamiaji haramu na magaidi wanavotumia kuingia Ulaya??
wazungu wanajilaumu sana but it's too late.
hivyo tunataka muwe na amani ili nasi tuwe na amani. you are our bafa zone. cushioning anything from Somalia.

sema shida mliyonayo ni kwamba a lot of you are half minded. you can't the consequence of your actions. hayo mnayofanya sasa mnayapandikiza bila kujua kwa young generation. mnaweka mambo wazi hata ambayo hampaswi. matokeo ni mgawanyiko.
acha niishie hapo.
Kabla uchemke kwa hasira, hebu nielezee dababu za Tundu Lissu kuwa hospital in I Nairobi.
 
Roho mbaya sana lakini sijui tulitegemea nini kutoka kwa wala albino. Inahitaji roho nyeusi sana kuweza kumchinja mwenzako si kwa hasira lakini, kwasababu ya kitoweo tu.
Mngakuwa mna roho nyeupe mngechinjana na kuuana kama kuku?
 
hebu thibitisha madai yako. coz you thrown to us a very serious allegation.

pili Tanzania tunaelewa umuhimu wa amani na majirani na umuhimu wa amani ndani ya nchi jirani. hatuwezi piga hatua thabiti za kiuchumi ikiwa tumezungukwa na majirani ambao hatuelewani nao pia nchi zao ziko katika hali ya suspense kama ilivyo Kenya. hiyo haina faida kwetu. ni hasara na hatari sana. amani yenu ndiyo amani yetu. leo hii nchi yenu ikigeuka kuwa Somalia huku kwetu itakuwa shida sana maana itabidi tubadili namna ya kulinda mpaka wetu na nyie. si unaona jinsi mpaka wenu na Somalia ulivyo na usalama mbaya? au Libya sasa ilivyo usharoba wa wahamiaji haramu na magaidi wanavotumia kuingia Ulaya??
wazungu wanajilaumu sana but it's too late.
hivyo tunataka muwe na amani ili nasi tuwe na amani. you are our bafa zone. cushioning anything from Somalia.

sema shida mliyonayo ni kwamba a lot of you are half minded. you can't the consequence of your actions. hayo mnayofanya sasa mnayapandikiza bila kujua kwa young generation. mnaweka mambo wazi hata ambayo hampaswi. matokeo ni mgawanyiko.
acha niishie hapo.

Hivi unajua Tanzania is listed among the countries with unhappiest people in the world..... Jiulize inakuaje wakati huwa mnajidanganya kuwa wastaarabu, mkae mkijua kwamba mnafahamika sana kwa unafiki wa kung'ata na kupuliza.
Unhappy people are the most people with bitterness, hate halafu mbaya zaidi huwa mnaorodheshwa kuwa nchi maskini kiwango cha kutupwa, combine poverty, bitterness and unhappiness.

Haya hizi hapa taarifa za utafiti wa kisayansi, sio kwa maneno yangu.

The least happy nations: Syria, Tanzania, Burundi and the Central African Republic. The U.S. ranked 14th on the most recent rankings average.
World's Happiest Country Rankings Released
 
Back
Top Bottom