This thread should be changed to Tanzanian news

kule juu jukwaa la sijui nini huwa wanaboeka sana...ndio maana unawona wamejaa hapa kama nzi chooni...
 
Naona mmenyukwa 5 bila ndio maana mnapiga mayowe, tulieni mambo bado
 
Naona mmenyukwa 5 bila ndio maana mnapiga mayowe, tulieni mambo bado
Mbona tumetulia tu, karibia miaka hamsini imepita sasa, lakini bado mpo mpo tu? Tafuteni mchawi mwingine buana.
 
kule juu jukwaa la sijui nini huwa wanaboeka sana...ndio maana unawona wamejaa hapa kama nzi chooni...
Bila kuingiza wakenya kwa chochote wanachofanya huwa wanajihisi wamekosa kitu. Tanzania, kichwa cha mwenda wazimu.
 
Tanzania nayo ina news gani? si wamejazana hapa kenya news ka nzi za burst sewer line bringing here bogus news instead of posting on their threads,ju hakuna mkenya hushughulikana kuenda Tanzania LDC news section.
 
Funny that i dont have time for the Tanzania news section but when i come here its all about threads with nothing to do with Kenya
You force you're boring news and white elephant projects here
 
Hivi ukitembelewa na mgeni nyumbani kwako ukamkaribisha na kumpa chumba cha kulala,utamkataza mwenye nyumba kuingia kwenye hicho chumba?

Hii nyumba ni ya wa Tz,nyie Wakenya ni wageni na sisi kwa wema wetu tumewakaribisha na kuwapa chumba ambacho endapo tukihitaji kukitumia hamna uwezo wa kutuzuia,,sana sana mkileta ujuaji tunawaondoa kwenye nyumba yetu

Muheshimuni mwenye nyumba.!
 
Jawabu murua kabisa
Mwenye kujielewa kaelewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…