This 'Wet lips' look is driving me banana's.

uporoto01

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2008
Posts
4,698
Reaction score
1,423
Wakuu kuna hii tabia ya kinadada ya kupaka sijui inaitwa lipshine mwenzenu nikiiona nachanganyikiwa hata akiwa anaongea sisikii kitu mi macho yangu yote jinsi midomo inavyofunguka,sasa sijui ni mimi peke yangu ama kuna wengine pia wanaizimia staili hii. Naipenda zaidi kama kapakaa natural lip colour na lipshine au lipshine pekee sio zile nyekundu sana kama avatar ya Belinda
 
sasa kinachokuzingua ni nini halafu kitabibu hata w/ume tunatakiwa kupaka ili kulainisha ngozi za mdomo maana kipindi cha baridi midomo ina tabia ya kupasuka
 
Umenikumbusha yule mwanamama mke wa mtu aliyempenda muuza kahawa kwa sababu tu ya jinsi vikombe vyake vinavyotoa mlio(vinapo gongana) wakati akitembea.
 
Mimi ugonjwa wangu....ni staili fulani ya kutembea hivi...
Mwanamke anaetembea kama kajinyea hivi.....huwa nakuwa mgonjwa hivi....
 
Mimi ugonjwa wangu....ni staili fulani ya kutembea hivi...
Mwanamke anaetembea kama kajinyea hivi.....huwa nakuwa mgonjwa hivi....

hahah boss wewe mwisho .....kama kajinyea! mmh

niliwahi kukutana na jamaa mmoja anaependa masikio ya wanawake ......mmmh.
 
sasa kinachokuzingua ni nini halafu kitabibu hata w/ume tunatakiwa kupaka ili kulainisha ngozi za mdomo maana kipindi cha baridi midomo ina tabia ya kupasuka

Wanaume wanapaka lip balm au vaseline ambayo haitoi mg'ao kama hiyo lipshine ambayo ni balaa.
 
Usione ajabu kupenda wetlips.
Kuna wanawake wanapenda wanaume wenye sharafa, sharubu, nywele za kifuani, mwanaume aliyevaa chain, anayeongea kwa sauti husky, wenye kunyoa vipara na kupaka mafuta vikang'aa na viko smooth nk.Vyote hivi ni vionjo tofauti vyenye kufanya maisha yawe na ladha.
Enjoy!
 
Mimi ugonjwa wangu....ni staili fulani ya kutembea hivi...
Mwanamke anaetembea kama kajinyea hivi.....huwa nakuwa mgonjwa hivi....

Mkuu uko juu nilikua sijaichunguza miondoko ya kina dada sasa jana katika uchunguzi wangu nikauona huu wa kama kajinyea nikacheka sana na kukumbuka maneno yako.
 
yani mkuu kila mtu kuna kitu kinam-drive crazy kwa jinsia nyingine..sasa mhimize mamsapu apake hiyo lipshine unayoipenda ili umwangalie kila wakati,ha ha
Mie kifua hoi, nitamuangalia mkaka mpaka ashindwe kuelewa.siyo baunsa lakini..
 
Pole sna mie nikimuona mkaka ana kitambi hadi shati halifungi hoiii:becky::becky:
 
Mie wadau ni makalio ya kina kaka kuna makalio ya dizaini fulani hivi si makubwa na si madogo yanaonekana hasa pale mtu kachomekea. Lazima nigeuke nyuma nikipishana na mkaka mtanashati kumcheki kama makalio yako mahali pake. :becky::becky::becky::becky::becky:
 
Pole sna mie nikimuona mkaka ana kitambi hadi shati halifungi hoiii:becky::becky:

mmh!Maria hii kali...mie naweza kushangaa kwa kukunja sura mana mtu unamwona anahemea juu,sipendi hii kitu kabisaaa!!
 
I like lip gloss that glitters..when I see a woman with shiny lips....carrying a chic bag like Hermes, wearing 4 inch heels and strutting like Naomi Campbell, wearing Marc Jacob shades...oh man....I go bonkers.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…