Wakuu kuna hii tabia ya kinadada ya kupaka sijui inaitwa lipshine mwenzenu nikiiona nachanganyikiwa hata akiwa anaongea sisikii kitu mi macho yangu yote jinsi midomo inavyofunguka,sasa sijui ni mimi peke yangu ama kuna wengine pia wanaizimia staili hii. Naipenda zaidi kama kapakaa natural lip colour na lipshine au lipshine pekee sio zile nyekundu sana kama avatar ya Belinda