ni ngumu
JF-Expert Member
- Sep 25, 2016
- 4,292
- 7,197
Mi naona wanakufa wakenya wenye kinga ndogo kwenye miili yao..
Sisi huku tanzania kwa mfano jana mashabiki wa simba na yanga wamejaza wanja wa taifa lakini hamna hospital iliyojaa kwa wagonjwa wa corona HAIPO..
Ni mpumbavu tu ndo kusoma hajui na picha hawezi kuilewa...
Corona inasumbua kenya ila tanzania ni mafua tena mafua ya kawaida.
Na huyu aliyepata uraisi wa bahati nasibu awe makini sana na ukibaraka wake maana atakosa kura 2025.