This year 2020 land cruiser V8 stop producing. Series J200

TEAM 666

JF-Expert Member
Joined
Dec 7, 2017
Posts
4,399
Reaction score
8,594
Hello JF.

Leo nakuja na kizungu kidogo

Imetoka Call mwaka Jana this year they will stop producing the Toyota landcruiser J200,the generation formed in 2007 to 2020 will then cease.

It was especially popular with our countries with bad roads, What will happen after you stop producing? Will the price rise or fall?
 
Very bad news kwa nchi zetu za Africa, na hivi mkuu nini huwa ni tofaut kati ya VX GX VXR na mengineyo.
 
Habari Hii Ilikuwa Jamiiforums.com Nadhani Mwaka Jana
Lazima Toyota Watakuja Na Kitu Kipya
Ila Hizo Gari Nzuri Sana Ndiyo Maana Unawaona Wakubwa Wana Mtumia Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania
Sms Kumpongeza Kaapa Vizuri 😁😂😅😄😏
 
Bei inaweza kushuka kidogo sana,ni lazima wahakikishe kuwa hawapati hasara na pia watakuwa wameandaa mbadala ili kuziba hilo pengo...
 
Kwa uelewa kidogo, nilisoma mahali walisema wanaachana na engine za v8 na kuja na engine ya v6 ikiwa na mfumo wa bitrubo au twin trubo kuongeza nguvu na ufanisi wa gari
 
My research


Very bad news kwa nchi zetu za Africa, na hivi mkuu nini huwa ni tofaut kati ya VX GX VXR na mengineyo.
ahahaha mkuu kuna nyingine pia Amazon, Sahara nk....


Izi level tu mkuu Kama unvyoona tecno Spark 4 tecno Spark 5 pro

Katika hizo level Sahara na Amazon ndio baba lao

Ukiangalia hizi Gari Sahara na Amazon ndio zina bodi kubwa pia kwenye future kuliko izo nyingine ulizozitaja...
 
Kwa uelewa kidogo, nilisoma mahali walisema wanaachana na engine za v8 na kuja na engine ya v6 ikiwa na mfumo wa bitrubo au twin trubo kuongeza nguvu na ufanisi wa gari
Bila shaka watakuja new dizen hasa kwenye body


Tunangoja huo unyama.....hawa jamaa niwabunifu 100% naaamini mapema 2021 zitakua tayari zimetoka nahizi za 2020 hadi kuja 2007 bila shaka zitashuka Bei
 
Hiki chuma mkuu kinatoa watu roho
 
Bora iwe mkuu maana kwa price ya sasa hivi ningumu kuagizia ukiangalia Kodi nibalaaa yani gari unanunua mara mbili????


Unauziwa Japan ukija bongo unalinunua tena....bandalini
Bei inaweza kushuka kidogo sana,ni lazima wahakikishe kuwa hawapati hasara na pia watakuwa wameandaa mbadala ili kuziba hilo pengo...
 
2021 Toyota Land Cruiser debuts in August, claims Japanese media

BY MASHFIQUE HUSSAIN CHOWDHURY. JANUARY 14, 2020.

ASIAN CAR NEWSGREEN CAR NEWS

An all-new 2021 Toyota Land Cruiser 300 Series will supposedly be revealed in August with a twin-turbocharged hybrid V6 instead of a V8 engine, as per a new report from Japan.

Japan’s Best Car Web claims that the new Land Cruiser “300 Series” will come with a 3.5-litre twin-turbo V6 hybrid powertrain, and will produce 313 hp and 356 Nm, which is actually far less than the existing 5.7-litre V8, but it is suggested that the new model will be lighter to compensate. It is also possible that there will be less-complicated engine options available in lower-spec models, as such fancy mechanicals won’t fly well with desert-safari enthusiasts and operators.

It is also claimed that the turbo-hybrid version will have a CVT automatic, which is Toyota’s favourite transmission of choice when it comes to their hybrid cars.

The car pictured here is just a guess in terms of styling, but the new model isn’t expected to be vastly different in size compared to the current model. It is already much smaller than the Nissan Patrol, Ford Expedition and Chevy Tahoe. It is also expected that the Land Cruiser will continue to have a body-on-frame chassis, although it is unclear if it will finally get independent rear suspension like its rivals.

It is also suggested that the new Land Cruiser will be offered with five or eight seats, with 17, 18 and 20-inch alloy wheel options. And a full suite of active safety features will be available.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…