punainen-red
JF-Expert Member
- Nov 18, 2010
- 1,731
- 451
Inasikitisha sana. Ninavyowapenda watoto wadogo, hiki kisa kimenitoa machozi. Na huyo mzee...tangu alipomuona mwanae akiwa na mwaka 1 na nusu hakujishughulisha naye tena kwa zaidi ya miaka 40! Anashangaa nini wakati na yeye ni muuaji..