Inasikitisha sana. Ninavyowapenda watoto wadogo, hiki kisa kimenitoa machozi. Na huyo mzee...tangu alipomuona mwanae akiwa na mwaka 1 na nusu hakujishughulisha naye tena kwa zaidi ya miaka 40! Anashangaa nini wakati na yeye ni muuaji..
Duh! Mungu awarehemu malaika wake awapumzisha kwa aman. sina cha kusema maana nina watoto watatu na wote wako shule moja, toka niliposoma huu mkasa ninawaza kuwatenganisha ili kila mtoto asome shule yake, by theway MUNGU NDIE MZINZI WAO.