Jacobus
JF-Expert Member
- Mar 29, 2011
- 4,703
- 1,724
Mkuu, hebu tukubaliane nae lakini tumuulize kwa nini basi baadhi ya viongozi wa CCM hawataki serikali tatu kwa maana hiyo hiyo kwa rais wa Tanganyika?we lete maneno ya kukela kwa znz
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu, hebu tukubaliane nae lakini tumuulize kwa nini basi baadhi ya viongozi wa CCM hawataki serikali tatu kwa maana hiyo hiyo kwa rais wa Tanganyika?we lete maneno ya kukela kwa znz
Ngawaia arudishe misaada iliyopewa jimbo la Mpshi vijijini wakati akiwa Mbunge ndio aongee hiz habari.
Kujifurahisha na hasa na kuishirikisha nafsi inaleta furaha na hata kuongeza umri na uhai. Nikimwita Mkurugenazi huyo ni kihiyo na wanaomsikiliza bila kuhoji alionena wanaaangukia kundi moja, ni takuwa nimekosea ? Wasomi wa Chuo Kkiuu cha Mnzese.Niko naangalia kipindi cha uzalendo kinachorushwa na ITV ndg Thomas Ngawaia ambaye ni mkurugenzi wa taasis ya utawala bora amesema TZ ni nchi moja ktk katiba ya sasa. Na alipoulizwa juu ya uwepo wa rais wa Zanz akasema rais ni jina tu. Hata vyuo vikuu kuna rais na hata TFF kuna rais.
Kujifurahisha na hasa na kuishirikisha nafsi inaleta furaha na hata kuongeza umri na uhai. Nikimwita Mkurugenazi huyo ni kihiyo na wanaomsikiliza bila kuhoji alionena wanaaangukia kundi moja, ni takuwa nimekosea ? Wasomi wa Chuo Kkiuu cha Mnzese.
Mimi nitajaribu kutoa ufafanuzi wa Kikatiba kwa hayo matapishi alioyacheua kuhusu Zanzibar kuacha nchi au la.
KATIBA YA ZANZIBAR
SURA YA KWANZA
ZANZIBAR
Sehemu ya Kwanza
Zanzibar
1. Zanzibar ni Nchi ambayo eneo la mipaka yake ni eneo lote la Visiwa vya Unguja na Pemba pamoja na Visiwa vidogo vilivyoizunguka;na bahari yake ambayo kabla ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ikiitwa Jamhuri ya Watu wa Zanzibar.
2. Zanzibar ni miongoni mwa Nchi mbili zinazounda Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania.
Katiba hii ni Katiba ya Zanzibar na itakuwa na nguvu za kisheria nchini kote na isipokuwa kutokana na kifungu 80 ikiwa sheria yoyote inatofautiana na Katiba hii, basi Katiba hii ndiyo itayokuwa na nguvu na sheria hiyo itakuwa batili kwa kiwango kile ambacho kinahitilafiana
Ama kuhusu KUmfananisha Rais wa Zanzibar sawa na wa TFF, hilo naliwacha. Naliona kama tusi kwa kiongozi wa nchi na Sioni yeye na chombo kilichorusha uchochezi huo kikaachwa tu.
Niko naangalia kipindi cha uzalendo kinachorushwa na ITV ndg Thomas Ngawaia ambaye ni mkurugenzi wa taasis ya utawala bora amesema TZ ni nchi moja ktk katiba ya sasa. Na alipoulizwa juu ya uwepo wa rais wa Zanz akasema rais ni jina tu. Hata vyuo vikuu kuna rais na hata TFF kuna rais.
Hivi toka kipindi hicho ilikua inawezekana mtu kufanya kosa zenji halaf anakuja kushikiliwa TanganyikaMvamizi anaweza kusema lolote .
Zanzibar ilivamiwa na Laanatullahi Nyerere Januari 12 1964 na kumkamata Waziri Mkuu wake muhammed Shamte pamoja na baraza lake la mawaziri na kuwafunga katika jela za Tanganyika bila kuwafikisha Mahakamani , kabla hata huo uitwao Muungano wa 26 Aprili 1964 haujafikiriwa
Hivi toka kipindi hicho ilikua inawezekana mtu kufanya kosa zenji halaf anakuja kushikiliwa Tanganyika
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi wewe unaanzaje kumuita baba wa taifa Laanatullah??Mvamizi anaweza kusema lolote .
Zanzibar ilivamiwa na Laanatullahi Nyerere Januari 12 1964 na kumkamata Waziri Mkuu wake muhammed Shamte pamoja na baraza lake la mawaziri na kuwafunga katika jela za Tanganyika bila kuwafikisha Mahakamani , kabla hata huo uitwao Muungano wa 26 Aprili 1964 haujafikiriwa
Hivi wewe unaanzaje kumuita baba wa taifa Laanatullah??
True. Zanzibar ni mkoa