Thomas Partey, Mchezaji wa zamani wa Arsenal akabiliwa na mashitaka ya ubakaji mara tano na shambulio moja la kingono

Thomas Partey, Mchezaji wa zamani wa Arsenal akabiliwa na mashitaka ya ubakaji mara tano na shambulio moja la kingono

Wana lenga pesa na mali zake, bepari sio rafiki ako hata siku moja.
Kabisa, uhuni wa wazungu kwa mtu mweusi.Nimemwona yupo Ghana asirudi ulaya na nnchi imlinde
 
Ndo maana 50 cent huwa anawasainisha kwanza kabla ya kuingia nao kwenye mahusiano.
 
Mama Samia ni chombo cha neema kwa Tanzania — uongozi wake ni taa ya matumaini, dira ya maendeleo na alama ya hekima. 2030 tupo tayari
 
Players WA Africa wajinga sana,Kuna mifano zaidi ya elfu ila hawajifunzi,Wanawake wakizungu Wajanja na Wana Akili Kuzidi dada zetu,wao hawaelewi..ngoja waendelee kumalizwa..
Waachane na wanawake wa kizungu. Wanaweke wengi hivi nchi tofauti.

Wanshindwa nin ku date pisi za kiafrika tu. Kwe hela zao hao hakuna shida kabisa.
 
Back
Top Bottom