Klabu ya PSG ya nchini Ufaransa imemtangaza kocha Thomas Tuchel raia wa Ujerumani kuchukua mikoba ya Mhispania Unai Emery hii leo. Kocha huyo wa zamani wa Borrussia Dortmund na Mainz za Ujerumani anategemewa kuanza kazi mara moja baada ya kombe la dunia.
Kwa maoni yako unadhani PSG wamepatia au wameyumba tena??