Thomas Tuchel kocha mpya PSG

Thomas Tuchel kocha mpya PSG

escrow one

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2014
Posts
1,473
Reaction score
2,868
Klabu ya PSG ya nchini Ufaransa imemtangaza kocha Thomas Tuchel raia wa Ujerumani kuchukua mikoba ya Mhispania Unai Emery hii leo. Kocha huyo wa zamani wa Borrussia Dortmund na Mainz za Ujerumani anategemewa kuanza kazi mara moja baada ya kombe la dunia.
Kwa maoni yako unadhani PSG wamepatia au wameyumba tena??
 
Bora Unai ameondoka asee hamna kocha fala niliowahi kushuhudia duniani kama yeye na wenger.
 
Wenger kwa wachezaji wa viwango vya juu angefaa sana PSG kwa mtazamo tu.
 
Back
Top Bottom