gemmanuel265
JF-Expert Member
- Feb 16, 2016
- 8,485
- 18,048
Sawa bhana ngoja mleta post tusubiri kama ataleta, ila hujafanya jambo Jema sana kulisusia swali languTwataka tuone picha ya ulimwengu akiwa na tb joshua
HahahahaKupenda kwako big boot zinakuletea hizi shida
NakusubiriTwende kesho kama kuna issue ya business
...ushawatoa udhu mamende,Mkuu anzisha thread ya kuhlizia picha za avatar ,,kwenye avatar yako ni wewe[emoji16] [emoji16] [emoji16]
Thomas Ulimwengu ni mzima, wee endelea na maneno mbofumbfuTB Joshua ni mpigaji.
Mwanaume mwenzio huyo.msije mkafanyana sodoma na gomora.[emoji20] other issues
OhooMwanaume mwenzio huyo.msije mkafanyana sodoma na gomora.
Naona umeona msambwanda umebabaika.Ohoo
Nashukuru mkuu kwa kunikimbusha maana picha ilinivutiaNaona umeona msambwanda umebabaika.
WTF.Namouna Thomas Ulimwengu akitoa ushuhuda leo jumapili usiku Emmanuel TV Sunday service live kuwa alikuwa majeruhi baada ya kuumia ktk mechi na ilitakiwa afanyiwe operesheni lakini Dada yake alimshauri aende kwa T B Joshua na alivyoguswa na Nabii wa ukweli alijisikia kama Kuna nguvu ya umeme inapita ktk jeraha lake wakati roho ya uponyaji ilipokuwa inafanya kazi ktk mguu wake na baadae aliweza kupona kabisa wa kuweza kuruka ruka bila maamivu yoyote Mungu ni Mwema kwa kumtumia Nabii kufanya nguvu ya uponyaji wa haraka sana
Hyo avatarHata picha haunaa