Thomas Ulimwengu apokea uponyaji kwa T B Joshua

Thomas Ulimwengu apokea uponyaji kwa T B Joshua

Tunaongelea majority mkuu mbona hata Kuna mataifa mengine wanajua kiswahili fasaha kuliko wazawa watz refer yule mtoto wa kichina aliefaulu vizuri mpaka kiswahili na kushinda watz
 
Itakuwa jambo bora Man U wakampeleka Zlatan Ibrahmovich huko, akifanikiwa hatutakuwa na haja ya kuomba picha, litakuwa ni jukumu tu la BBC kututhibitishia hilo.
Sisi waafrika bana!
 
Hee keshaanza kuzunguuka kwenye maombi? Inaonekana keshamaliza waganga wa kienyeji tayari ..daah Ulimwengu hawezi fika popote kwenye soka la kimataifa..Mesi na Ronaldo wakiumia hawafanyi huu upuzi wanatafuta suluhu ya tiba kwa wataalamu..yeye mbio kwenye maombi..
 
Aende hospital baada ya hiyo placebo effect kuisha.
 
Namouna Thomas Ulimwengu akitoa ushuhuda leo jumapili usiku Emmanuel TV Sunday service live kuwa alikuwa majeruhi baada ya kuumia ktk mechi na ilitakiwa afanyiwe operesheni lakini Dada yake alimshauri aende kwa T B Joshua na alivyoguswa na Nabii wa ukweli alijisikia kama Kuna nguvu ya umeme inapita ktk jeraha lake wakati roho ya uponyaji ilipokuwa inafanya kazi ktk mguu wake na baadae aliweza kupona kabisa wa kuweza kuruka ruka bila maamivu yoyote Mungu ni Mwema kwa kumtumia Nabii kufanya nguvu ya uponyaji wa haraka sana
WTF.
 
anaenda mbali wakati kama pesa zimezidi angezipunguza kwa jirani yetu mkenya
 
Kuna haja ya Santi Cazorla na Wilshire kumwona huyu mtu.. .
 
Back
Top Bottom