Atakuwa alikuwa expendable kwa Moise Katumbi, mpaka mkataba unaisha? Mbona Samata jasho lilimtoka katumbi!Mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania, Thomas Ulimwengu ameachana na klabu yake ya TP Mazembe ya nchini Congo DR baada ya kumalizika kwa mkataba wake.
Ulimwengu ambaye ameitumikia Mazembe kwa miaka mitano, ameamua kufatilia ofa mbalimbali za vilabu vya barani Ulaya.
Lich ya TP Mazembe kufanya juhudi za kutaka kumpaka mkataba mpya, Ulimwengu hakuwa tayari badala yake akasisitiza kuwa, ni muda muafaka kwake kufuata nyayo za Mbwana Samatta kwenda kucheza soka la kulipwa bara la Ulaya.
Aje akipige Simba kwa muda huu anaotafuta timu Ulaya.
Ndio.... maana ni wakati wa mnyama mkali kuliko wote mwituni kutoa vichapoAje akipige Simba kwa muda huu anaotafuta timu Ulaya.
Mchezaji huru anasajiliwa muda wowote hasubiri dirisha la usajili lifunguliweAje akipige Simba kwa muda huu anaotafuta timu Ulaya.
Mchezaji huru anasajiliwa muda wowote hasubiri dirisha la usajili lifunguliwe
Akija simba itabidi asajiliwe ili acheze, na akishasajiliwa akishapata hiyo timu itambidi asubiri dirisha lifunguliwe jan,Mkuu nimesema kwa muda anaosubiria timu, siyo kwa muda anausubiri dirisha.
Akija simba itabidi asajiliwe ili acheze, na akishasajiliwa akishapata hiyo timu itambidi asubiri dirisha lifunguliwe jan,
Alafu mbona kashasema ana ofa tatu ndio anachagua ipi itakayomfaa, mabingwa wa africa wanamtaka ila kaipotezea anataka aende ufaransa au ubelgiji ndio anafikiria afanye uamuzi
Hapa ndo pa kumpa ushauriAkija simba itabidi asajiliwe ili acheze, na akishasajiliwa akishapata hiyo timu itambidi asubiri dirisha lifunguliwe jan,
Alafu mbona kashasema ana ofa tatu ndio anachagua ipi itakayomfaa, mabingwa wa africa wanamtaka ila kaipotezea anataka aende ufaransa au ubelgiji ndio anafikiria afanye uamuzi
Mwe...!!!!Aje akipige Simba kwa muda huu anaotafuta timu Ulaya.
Simba huwa haimbanii mchezaji mikataba ya wachezaji Wa simva iko wazi wakipata timu nje tofauti na Vyura fc aka mbeleko fcAnataka kwenda Ulaya we unamshauri aje Majungu FC. Simba na Yanga nyie wote longolongo tu.