MOTOCHINI
JF-Expert Member
- Jan 20, 2014
- 28,064
- 31,401
Hawa jamaa vitukoTena waKenya waliwambia dunia nzima kwamba serikali imewadanganya.
Yani wanashindana na vivuli vyao!!
Wanajiuliza na kujijibu wenyewe!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawa jamaa vitukoTena waKenya waliwambia dunia nzima kwamba serikali imewadanganya.
Ona aibu wewe!!
Kabla ya watanzania kuponda hiyo treni yenu ya Mwaka 1970s
Wakenye wenzie ndio wakwanza kuyaponda!!
Ouch.....!!!!!!!!Wewe ni Mkenya??
Wish for Tanzania not Kenya
Enda wishia mbali!
Mkenya ana haki ya kuiponda kwa sababu ni ushuru wake utakaoilipia. Wewe mdanganyika unaiponda kama nani? Ni kipi chako kilichoibiwa ndio haya matreni yanunuliwe.
Hahaha mpuuzi wewe!!
Ulicho kijibu ni kipi
Na ulicho kipinga hapo ni kipi!!
Nimesema wakenya ndio wakwanza kuyacheka,kuyazomea hayo matreni ya 1970s
Ukiandika ujinga utajibiwa ujinga. GIGO - quit being stupid and you'll get good responses.
Nimesema Wakenya wana haki ya kuyaponda hayo matreni. Wewe ngojea yale yenu ya tuta- kama yatawai jengwa uyaponde pia.
Wakati
Morocco wanatushushia vitu![]()
![]()
Kenya wanatuletea Taka taka [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sawa
BoraTz mtakua Limbukeni kamwe.....
Port ya Kenya inapitisha 27million tonnes, ya Djibouti inachukua 12mil, ya Dar inachukia 15mill kwa mwakaDouble stacked kwa mizigo gani Kenya iliyo nayo? Hiyo ya kwenda Uganda?
Tz mtakua Limbukeni kamwe.....
Una maneno wewe!!Sawa
Ila mnapo sema mpo kwenye mambo mapya
Mnafaa kuonyesha vipya kweli!!
Siyo kutuonyesha vitu vya 1970s
Hahaha mmemuona mmorocco!!?
Huyo kashusha vifaa
Sio kukalia Ukabila,Rushwa
Mnatuletea Mitungi ya Chang'aa kuwa ni SGR train!!!
My goodness, those are still in use.