Though been in the planning for the last 4 years, todate Nairobi is having no single inch of BRT system!

Though been in the planning for the last 4 years, todate Nairobi is having no single inch of BRT system!

even after metro trains launch in Nairobi, kenyans remain to be envious of DART system!









 
Do you know that Kenya inamasikini wengi kuliko Tanzania?
And do you know this is what World Bank says about poverty in Africa? Where is Kenya in that list?
PhotoGrid_1605162481588.jpg
 
Zinatumika zilizopo,

Kwa sasa population ya wakenya wanaoishi kwenye umasikini ni 36.1% na kuna uwezekano wa kuongezeka zaidi kutokana makampuni mbalimbali kupunguza wafanyakazi na zingine kufunga ofisi zao,

Tanzania ni 26.4% hutaki andamana na hakuna kitu utabadilisha,
Pia Tanzania inafanya vizuri Sub Saharan Africa kwenye kupunguza masikini,

Usisahau pia kuwa masikini wa Tanzania ana chakula, ardhi pamoja na huduma zingine muhimu.
Of course hakuna mkenya anaweza badilisha wazo lako la kishabiki. Hata wewe pia huwezibadilisha hii ripoti ya World Bank kuhusu umasikini barani Afrika kamwe
PhotoGrid_1605162481588.jpg
 
Back
Top Bottom