mkuu for the first time umepost positively about odinga!!!!!ila ujakosea cha msingi ni utulivu na amani.
siasa za vitisho has no place in kenya na kila mtu afuate katiba. pia ukurasa wa siasa za ubinafsi ulikwisha wakati wa moi. vitisho vyenu kord zitaendelea tu mpaka wakati wa wajukuu wenu na ukweli hautabadilika utabaki pale pale. inashangaza kusikia mtu kusema politics of exclusion ,,,,,UGATUZI maana yake kuzinduliwa ilikuwa na maana gani? excluded kivipi?? excluded from corruption, fraudulent tenders ambazo zilitendeka nyakati ya kibaki na moi.
haya mazungumzo ya COrd yanalenga nini? ni ushauri wanatafuta kutoka kwa serikali kuu jinsi ya kuendesha ugatuzi na fedha wanazopata au ni nn?
what is the value of devolution now? is it out of fashion? tubadilishe katiba mpya tulete kingine,,,, tulete nini kitakachofanya kazi badala yake?
umepata fursa ya kueleza wakenya kuinaga ubaga kuhusu anglo-leasing? tunataka kuelezwa kuhusu goldenberg na zingine??
people are DYING in kenya, hii ndio kusema nini,,,,at what scale???? Biblical au kiwango gani???
tumikia wananchi na hizo fedha za ugatuzi na kelele zipungue. cord inaendesha serikali na inaongoza asilimia 50 ya majimbo nchini,,, bei ya bidhaa ina panda is nobody's fault? pesa ya ugatuzi inalipa mishahala tu na kugharamia shughuli za
anasa za wanasiasa! una lipi la kusema??
gavana wa nairobi ni wa kord, kuna mambo mengi wakenya wanahitaji kwa sasa, na sio kibali vyombo vya dola kuiweka nchi mateka
is anybody being excluded??? being excluded kivipi??? asilimia arobaini ya mapato ya taifa inakwenda kwa kila jimbo kufanya nini?? can your toast head leader wa upinzani confirm kwamba pesa zimekwisha tumwa??? kama atakubali zimetumwa atuachie amani. wakenya wameonyesha amani miaka hii yote mijadala imekuwa ikifanyika bungeni,
nguvu za umma zilitumika mwaka wa 2007/2008 kwa kuwa kibaki alivunja mkataba wa MOU na odinga,, ikambidi kofi annan kuingilia kati na lilieleweka makini sana na ukapita. ODM walipoteza uchaguzi na jukumu lao kujipanga vilivyo kuunda mikakati ya kushinda uchaguzi ujao .
katika ulimwengu mzima na mataifa ya demokrasia kuna maagano yapi kati ya upinzani na serikali. hata uingerza au amerika. kuna republican na democrat, anayeshinda uchaguzi anasubiri hadi kipindi cha miaka mitano na kuingia katika uchaguzi.
kama jibu ni ndiyo basi hata kwa huyo mzee ni hivyo hivyo, jibu ni kwamba hakuna lisilo wezekana katka nguvu za umma,inategemeana na ushawishi wako katika jamii.
ajabu huyu mtanzania anashinikiza nguvu za umma na kwao wenyewe hawafanyi mambo hivi. hawajafikiria reforms kubadilisha katiba yao hawaelewi hali ilivyo kenya. itakuwa vigumu kwa kord kutumia nguvu za umma.