THRDC: Kusitishwa USAID kumepelekea changamoto kwenye NGO's; Watu kupoteza ajira, kusitishwa miradi, wahitaji kuathirika na kupungua fedha za kigeni

THRDC: Kusitishwa USAID kumepelekea changamoto kwenye NGO's; Watu kupoteza ajira, kusitishwa miradi, wahitaji kuathirika na kupungua fedha za kigeni

Wasiwasi wangu ni mishahara na maposho waliyokuwa wanajilipa, wakiingia serikalini si wengine wataishia kupata chini ya robo ya walichokuwa wanapata huko kwa kila mwezi......
Dr aliyekuwa anachukuwa 20m huko USAID huku halmashauri utamlipaje?
 
Kwa hiyo wanaona watoto wa maskini waliomtaani wao hawaumii na hawana familia isipokuwa hao walioachishwa kazi .
 
Back
Top Bottom