Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 301,221 Reaction score 1,172,274 Feb 13, 2025 #41 Duh aiseee
Lycaon pictus JF-Expert Member Joined Jan 31, 2021 Posts 9,189 Reaction score 16,128 Feb 13, 2025 #42 Hassanjk said: Wasiwasi wangu ni mishahara na maposho waliyokuwa wanajilipa, wakiingia serikalini si wengine wataishia kupata chini ya robo ya walichokuwa wanapata huko kwa kila mwezi...... Click to expand... Dr aliyekuwa anachukuwa 20m huko USAID huku halmashauri utamlipaje?
Hassanjk said: Wasiwasi wangu ni mishahara na maposho waliyokuwa wanajilipa, wakiingia serikalini si wengine wataishia kupata chini ya robo ya walichokuwa wanapata huko kwa kila mwezi...... Click to expand... Dr aliyekuwa anachukuwa 20m huko USAID huku halmashauri utamlipaje?
N Ngishi JF-Expert Member Joined Sep 17, 2018 Posts 376 Reaction score 610 Feb 14, 2025 #43 Kwa hiyo wanaona watoto wa maskini waliomtaani wao hawaumii na hawana familia isipokuwa hao walioachishwa kazi .
Kwa hiyo wanaona watoto wa maskini waliomtaani wao hawaumii na hawana familia isipokuwa hao walioachishwa kazi .
D dmkali JF-Expert Member Joined Nov 17, 2014 Posts 11,793 Reaction score 22,552 Feb 14, 2025 #44 Ngishi said: Kwa hiyo wanaona watoto wa maskini waliomtaani wao hawaumii na hawana familia isipokuwa hao walioachishwa kazi . Click to expand... Mwenye nacho huongezewa
Ngishi said: Kwa hiyo wanaona watoto wa maskini waliomtaani wao hawaumii na hawana familia isipokuwa hao walioachishwa kazi . Click to expand... Mwenye nacho huongezewa