THRDC: Maamuzi ya Rais Trump kusitisha misaada yamekuja ghafla na yanakiuka makubaliano ya mikataba

THRDC: Maamuzi ya Rais Trump kusitisha misaada yamekuja ghafla na yanakiuka makubaliano ya mikataba

Mikopo siyo Sadaka, lakini Misaada ni Sadaka.
Sadaka ni kujinyima kwa ajili ya mwingine (Kujitoa) haina malipo - marejesho.
Mtu kukubali kutoa Mkopo ni kujinyima au amesitisha kufanya matumizi ya hela yake ili akuwezeshe wewe ufanye jambo lako ila utarudisha fedha yake baadaye.
Kwa mantiki hiyo kuna mstari mwembamba sana kati ya Sadaka na Msaada.
Grants na Loans vinachanganya
 
Back
Top Bottom