Edo kissy
JF-Expert Member
- Mar 21, 2022
- 2,802
- 7,551
Nipende san me natka wale waliosema kwamba utaniacha wanune
Tupendane yaan mpaka wale wanaosubiri tuachane wachune
Acha wake vikao wamalize waganga
Yanawashinda ya kwao waone kama waganga
Hatuli hatulali kwako unawaponza uganga
Huoni hata sura zaoo mbayaa
Wananitaka mi siwataki nakutaka wewe tuuu
Wakinifuata nakimbia nakufuata wewe tuuu
Asa we ukitaka mi nilie amua wewe tuuu
Ama nitoke hadharani nisemee
I love youuu
I love youuu
Marioo ft Alikiba
I love you 😍
Tupendane yaan mpaka wale wanaosubiri tuachane wachune
Acha wake vikao wamalize waganga
Yanawashinda ya kwao waone kama waganga
Hatuli hatulali kwako unawaponza uganga
Huoni hata sura zaoo mbayaa
Wananitaka mi siwataki nakutaka wewe tuuu
Wakinifuata nakimbia nakufuata wewe tuuu
Asa we ukitaka mi nilie amua wewe tuuu
Ama nitoke hadharani nisemee
I love youuu
I love youuu
Marioo ft Alikiba
I love you 😍