Thread gani ilikuwa bora kabisa hapa MMU kwa mwaka 2011?

Mwaka unaisha keshokutwa hebu tuambizane thread gani ilihit sana kwa mwaka huu?

dah! mi sijui .. ila nitoke nje ya mada yako ukinambia nikutajie ban mbili za kufungia mwaka! ya da Faiza Foxy ya mwaka mzima au zaidi nadhani.... iliyokuwa ikisapotiwa na wana JF wengi saana lakini ikaja kufutwa pale PAW alipokuja kubanwa na maswali ya gaijin & free agym "anajina gumu yule dada" PAW alifunga thread alipokosa majibu ya maswali na baada ya kugundua .... alichemka kumbe

> Je ushawahi kuona MOd anapewa BAN!! jukwaa la dini kule! Mod alipigwa BAN ya mwezi ! i hope 2012 itakuwa zamu ya PAW "sheria msumeno" :biggrin:
 
hahahah Njiwa niku PM uniambie ni MOD yupi huyo alifungwa??
 
ngoja tuangalie sredi za nyuma kwanza...lakini nadhani ni ile ya tigoism kama sikosei!!badae ikahamishwa!!
 
Mbona hakuna MOD aliepigwa Ban hapo??

huyo alianzisha huo uzi alikuwa na title ya Super Moderator jukwaa la dini kule baada ya kutoka kifungoni kofia ilibadilika naona sasa ni senior expert member sasa sijui bado ni mod au ni mwananchi kama sisi.. ila amesema moderating tools bado anazo sasa sijui ni mkwara ama..!!!
 
dahhhh
sikujua hilo...
Kumbe hata MOD wanafungiwa
kasheshe mpauko.. Ni ngumu kufikiri mtu kama PAW anakula ban.. lol..

I'm just wondering
ni aliomba kushushwa hadhi nikimaanisha "title"
au ni moja ya rules zao?
 
ngoja tuangalie sredi za nyuma kwanza...lakini nadhani ni ile ya tigoism kama sikosei!!badae ikahamishwa!!
Duh kwanini unaona hii ndio ilikuwa kali mkuu?
 
dahhhh
sikujua hilo...
Kumbe hata MOD wanafungiwa
kasheshe mpauko.. Ni ngumu kufikiri mtu kama PAW anakula ban.. lol..

I'm just wondering
ni aliomba kushushwa hadhi nikimaanisha "title"
au ni moja ya rules zao?
Labda tumuulize Invincible
 
Back
Top Bottom