Thread imenipeperushia mwali

Hahahahahahahahahahhaaa.Fide na wewe umezidi.Kwa nini usitulie na mlokole wako uloshauriwa na mama? stuka mpwa,huenda ndio ishara hizo za kukataliwa.
 
du, mi nakushauri uanze kwa kubadili jina ubatizwe upya halafu mambo yako yatakunyookea. unasafishika mpwa ila kwa damu ya yesu.
 
He! Ulivomwambia unanifahamu riaksheni yake ikawaje? Bahati inaweza kuniangukia mimi ujue? Hebu ni-PM contacts zake basi fastafasta!
 
Afu na wewe! Damu ya Yesu itasafisha wapi wakati mtu anaogelea kwenye damu ya taska kila kukicha? btw we mbona hujanitakia heri ya mwaka mpya?
 
He! Ulivomwambia unanifahamu riaksheni yake ikawaje? Bahati inaweza kuniangukia mimi ujue? Hebu ni-PM contacts zake basi fastafasta!
Ukimpata binti wa Mbeya , kumbuka ulivyoaswa hapo juu na wa ukweli-anza uongo from minute one!!!
 
He! Ulivomwambia unanifahamu riaksheni yake ikawaje? Bahati inaweza kuniangukia mimi ujue? Hebu ni-PM contacts zake basi fastafasta!

Alinitoka balu akaacha chupa ya Konyagi mezani mm nilikuwa navyonza Valuu
 
hahahahahahaah, I like that. hongera na pole mkuu!!!!!!!!!!!!!
 
Alinitoka balu akaacha chupa ya Konyagi mezani mm nilikuwa navyonza Valuu

Pole sana Fidel yani ukamuona huyooooooo anaishia zake kakuacha ulimi nj kalikuwa kazuri zuri eeee????
 
Fidel una vituko!

So we kila uendapo lazima utest maji ya kule? Pole lakini nakushauri uwe unatumia jina la Xpin au Geoff halafu unaintroduce topic ya Fidel wa JF uone anamtazamo gani juu ya Fidel.
 
Unajua vitoto vya Mbeya balaa kitoto black beauty meno meupeee yaani we acha figa ndo ilinitoa udenda kabisaa mpaka nikapagawa aliepeperuka kama njiwa nikaona huyooo kisa jina Fidel.
 
Hakuna kina eliza kule? Si ungekamata mmoja udumishe mila?
 
Fidel una vituko!

So we kila uendapo lazima utest maji ya kule? Pole lakini nakushauri uwe unatumia jina la Xpin au Geoff halafu unaintroduce topic ya Fidel wa JF uone anamtazamo gani juu ya Fidel.

Hehehe hapo umenena,
Next month nitakuwa vekesheni A town kisha nitashuka mpaka TA nitaenda mpaka Chuda. Unajua ukimix maji huugui maralia lazima uchanganya radha mbalimbali.
 
But nimependa ulivyojifariji hapo sizitaki mbivu hizi
 
mzee wa ku-jiexpress in the MAKING!
haya bwana!
ngoja kidogo,nitakomment muda si mrefu............

thredi zinanichanganya
 
Fidel una vituko!

So we kila uendapo lazima utest maji ya kule? Pole lakini nakushauri uwe unatumia jina la Xpin au Geoff halafu unaintroduce topic ya Fidel wa JF uone anamtazamo gani juu ya Fidel.

Hahaha! MJ1 bana! We haya tu!
 
Hehehe hapo umenena,
Next month nitakuwa vekesheni A town kisha nitashuka mpaka TA nitaenda mpaka Chuda. Unajua ukimix maji huugui maralia lazima uchanganya radha mbalimbali.

Usisahau Kwa Minchi, Barabara ya kumi na saba na Tangamano watoto wa uswazi kule ndo wenyewe!
 
Hakuna kina eliza kule? Si ungekamata mmoja udumishe mila?

Mpwa nilishindwa baada ya kupagawa na yule mtoto maana nilikuwa nimezimika kabisa we fikiria nilianza biti kali za kumtoa Mby tuje Iraq tupumnzike then tuweke kituo Moro kisha tunapanda zetu Dar mtoto alikolea na bit.
 
We MJ1 wa uswazi au wa geti kali (Sore, off topic kwa faida yangu tu)

Nimetaja maeneo ya kwetu so unawezajua mie wa wapi Xpin. Sisi ndio wale wateule wa JF hasa kwa Fidel so najidebea hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…