Zion Daughter
JF-Expert Member
- Jul 9, 2009
- 8,921
- 4,240
Hahahahahahahahahahhaaa.Fide na wewe umezidi.Kwa nini usitulie na mlokole wako uloshauriwa na mama? stuka mpwa,huenda ndio ishara hizo za kukataliwa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Amini usiamini nikiwa Vekesheni nikakumbana na mrembo mmoja maeneo ya Mwanjerwa huku na huku ikabidi nimvute chemba kidogo katika maongezi ya hapa na pale story za mapenzi nikamtumbukizia JF akadai anaipata vizuri sana akawa ananitajia hadi members kama ZD, Nguli, MJ1, Nyamayao, Xpin, Kaizer, Geoff, Fidel, F1,bht, carmel na wengineo mm si nakamwambia mi ndo Fidel duh mtoto akabadilika yaani neno kujiexpress likawa ndo agenda ya kunikimbia akaniambia wewe si ulitangaza unastaafu kujiexpress mbona kama hujaacha na unarudia rudia kuliongelea? Jamani nikawa sina kauli nikamwambia ndo hivyo niamini kama huniamini waulize wapwaz dah mtoto akaondoka hivi hivi...ile thread ya kustaafu imenikimbizia mwali any way nahisi alikuwa mtoto wa geti kali au mboga saba yule.
du, mi nakushauri uanze kwa kubadili jina ubatizwe upya halafu mambo yako yatakunyookea. unasafishika mpwa ila kwa damu ya yesu.
Ukimpata binti wa Mbeya , kumbuka ulivyoaswa hapo juu na wa ukweli-anza uongo from minute one!!!He! Ulivomwambia unanifahamu riaksheni yake ikawaje? Bahati inaweza kuniangukia mimi ujue? Hebu ni-PM contacts zake basi fastafasta!
Alinitoka balu akaacha chupa ya Konyagi mezani mm nilikuwa navyonza Valuu
Alinitoka balu akaacha chupa ya Konyagi mezani mm nilikuwa navyonza Valuu
Pole sana Fidel yani ukamuona huyooooooo anaishia zake kakuacha ulimi nj kalikuwa kazuri zuri eeee????![]()
Unajua vitoto vya Mbeya balaa kitoto black beauty meno meupeee yaani we acha figa ndo ilinitoa udenda kabisaa mpaka nikapagawa aliepeperuka kama njiwa nikaona huyooo kisa jina Fidel.
Fidel una vituko!
So we kila uendapo lazima utest maji ya kule? Pole lakini nakushauri uwe unatumia jina la Xpin au Geoff halafu unaintroduce topic ya Fidel wa JF uone anamtazamo gani juu ya Fidel.
But nimependa ulivyojifariji hapo sizitaki mbivu hiziAmini usiamini nikiwa Vekesheni nikakumbana na mrembo mmoja maeneo ya Mwanjerwa huku na huku ikabidi nimvute chemba kidogo katika maongezi ya hapa na pale story za mapenzi nikamtumbukizia JF akadai anaipata vizuri sana akawa ananitajia hadi members kama ZD, Nguli, MJ1, Nyamayao, Xpin, Kaizer, Geoff, Fidel, F1,bht, carmel na wengineo mm si nakamwambia mi ndo Fidel duh mtoto akabadilika yaani neno kujiexpress likawa ndo agenda ya kunikimbia akaniambia wewe si ulitangaza unastaafu kujiexpress mbona kama hujaacha na unarudia rudia kuliongelea? Jamani nikawa sina kauli nikamwambia ndo hivyo niamini kama huniamini waulize wapwaz dah mtoto akaondoka hivi hivi...ile thread ya kustaafu imenikimbizia mwali any way nahisi alikuwa mtoto wa geti kali au mboga saba yule.
Fidel una vituko!
So we kila uendapo lazima utest maji ya kule? Pole lakini nakushauri uwe unatumia jina la Xpin au Geoff halafu unaintroduce topic ya Fidel wa JF uone anamtazamo gani juu ya Fidel.
Hehehe hapo umenena,
Next month nitakuwa vekesheni A town kisha nitashuka mpaka TA nitaenda mpaka Chuda. Unajua ukimix maji huugui maralia lazima uchanganya radha mbalimbali.
Usisahau Kwa Minchi, Barabara ya kumi na saba na Tangamano watoto wa uswazi kule ndo wenyewe!
Hakuna kina eliza kule? Si ungekamata mmoja udumishe mila?
We MJ1 wa uswazi au wa geti kali (Sore, off topic kwa faida yangu tu)