Nimetaja maeneo ya kwetu so unawezajua mie wa wapi Xpin. Sisi ndio wale wateule wa JF hasa kwa Fidel so najidebea hapa
Usisahau Kwa Minchi, Barabara ya kumi na saba na Tangamano watoto wa uswazi kule ndo wenyewe!
Umeona SENKSI niliyokugongea? Hahaha! MJ1 bana! Hehehe!
Inaelekea neshno fom foo B ulipata A ya kiwahili! We bana!
Uswazi ndo kwetu bana!
Yes nimekiona na kwa vile kiko ushuani ah mtoto wa uswazi nikipelekwa pale mbona ni Kempensky ua Tanga bro. Yaani pale wala hapindui wifi ila tu kaka cheza salama si unajua tena?
MJ1 umeona kiota hicho? Kipo pale Raskazone bado kipyaaaaa hapo unatoka na toto la uswazi la barabara ya 15 mbona balaa
lol eti nashno fom foo. Nimecheka hadi machozi yamenitoka
Wataka nami nikimbiwe kama Fidel? AkuHahaha! Unacheka na SENKSI unagonga kama kawa. Ndo nachokupendeaga Mj1. Nitungie basi shairi beti moja kwa afya yangu. Nimeyamisi sana mashairi yako....! (Angalizo: Lisiwe la kuvua pendo tafadhali, wengine tuna aleji ya kumwagwa)
Yes nimekiona na kwa vile kiko ushuani ah mtoto wa uswazi nikipelekwa pale mbona ni Kempensky ua Tanga bro. Yaani pale wala hapindui wifi ila tu kaka cheza salama si unajua tena?
Wataka nami nikimbiwe kama Fidel? Aku
Ehee!................Acha kumdanganya mwenzio, yaani kiota kama hicho afu avae nanihino? Pale HIV hatingi pale. Kishosti kikiingia kama kina Vairasi, wadudu wote wanaishia mlangoni.
Unaonaje tukiwasindikiza? Sisi tutambonji rum namba 27. Unaiona ile pale juu kushoto? Inaangalia baharini.
suga kwa maneno haya, ninauhakika umtamu! nimekaa nakutafakari binamu, siendi mbali maana wapwazi sijawajua vizuri na speed za akina Fidel80 sidhani kama dead balls kipa anazigusa. hamadi mipira ni kati tu! uzuri, jicho linaanza, sikio linafuata kisha mdomo-- jicho ni vebu sio nomino binamu.
amakweli ugeni kazi, hata sijui senks zinagongewa wapi.
He! Ulivomwambia unanifahamu riaksheni yake ikawaje? Bahati inaweza kuniangukia mimi ujue? Hebu ni-PM contacts zake basi fastafasta!
Yani umejuaje Xspin haina shida kabisa hiyo
ANGALIZO: SIMU ZITAZIMWA SIKU ZOTE TUTAKAZOKUWA HUKO
Jamaa yangu Chriss huchelewi kujipigia mapande, sikuwezi mkuu!