Thread maalum kukumbushana michezo ya utotoni iliyosahaulika

Uko mchezo tuliuita DOWN TOUCH, huu ni mpira wa miguu ambao kunakuwa na wachezaji wanne uwanjani yaani wawili kila team: goal keeper na midplayer ambaye ni attacker mpira ukiwa upande wao na defender mpira ukiwa kwa team pinzani.

Principle ya mchezo goal keeper anakurushia mpira then unatakiwa uucontrol mprira na kushoot ufunge goal upande wa team pinzani bila mpira kugusa chini. Mpira ukigusa chini au opposite attacking player akifanyiwa foul basi inapigwa freekick eneo ulipoangukia mpira au foul ilipotokea. Kiwango cha magoal ya kufungwa kiliwekwa ili team kutolewa na nyingine kuingia.

Kulikuwa na jamaa anaitwa Elisha mtaani. Alikuwa na control ya mpira ya hali ya juu kwenye huu mchezo mpaka akawaga anaruhusu kufanyiwa marking na defenders wawili (anaruhusu defender mmoja wa reserve team aje asaidie) mpira ukiwa upande wao na bado jamaa alikuwa anascore. Huyu jamaa alikuwa akiwa team moja na jamaa anaitwa Emanuel ambaye alikuwa goalkeeper wanaweza wakacheza bila kutolewa kwa siku nzima asubuhi mpaka jioni.

Huu mchezo ulitengeneza mastriker wazuri walioperform kwenye tight marking defence pamoja na magoalkeeper mahiri sana wa kuchomoa michomo ya kushtukiza. Elisha alikuwa striker mzuri sana in his teenage years na angefika mbali sana kwa kipaji chake ila balehe ilimchukua vibaya akawa mlevi wa totoz na nidhamu mbovu pia ilimuangusha. Huyu jamaa alikuwa na matukio sana na moja wapo likiwa ni la kutoroka kwenye kambi ya team ya mkoa ile kipindi cha michuano ya Copa Coca Cola akaenda kula mbususu akaachwa na gari asubuhi wakati wenzake wakienda Dar kwenye michuano. Emanuel yeye alikuja kuwa bonge la nyanda na alikuwa scouted na team kubwa mpaka kufika Simba B ila sikujua ni nini kilimkwamisha kufika mbali kisoka.
 
Ni kweli kabisa mkuu, mimi binafsi nime fanya watoto wangu wawe wanacheza mpaka mtaa wa tatu, sitaki wawe kama mimi , michezo kwa watoto ni mwanzo mzuri wa watoto kuwa na kujiamini huko mbeleni, kuna mtoto wa jirani yangu yupo darasa la sita halingani uchangamfu na mtoto wangu wa darasa la kwanza kisa yeye anafungiwa ndani ya geti.
 
wakati niko primary kucheza gololi na kujipikilisha ndiyo vilikuwa kwenye chat.

Funzo
1. Gololi, concentration
2. Kujipikilisha, waliokuwa serious ndo machef hao 😁
Hujacheza mchezo wa baba na mama?Mbona ndio ilikuwa mazoezi mazuri.
 
Mjini sipawezii
Hizo kelele za watu na honi πŸ™Œ
Ndio unachangamka.Biashara mbona zinafanyika na hizo kelele na honi?Jioni na usiku pako kimya.
 
Ndio unachangamka.Biashara mbona zinafanyika na hizo kelele na honi?
Kuishi na biashara ni vitu viwili tofauti..

Nyumbani ni sehemu ya kwenda kupumzika baada ya mahangaiko. Sasa nyumbani nako kelele? Hapana πŸ˜„πŸ˜„
 
Kuishi na biashara ni vitu viwili tofauti..

Nyumbani ni sehemu ya kwenda kupumzika baada ya mahangaiko. Sasa nyumbani nako kelele? Hapana πŸ˜„πŸ˜„
Jioni na usiku pako kimya hamna purukushani.
 
Ni noma
Hapo miye kila wiki nilikuwa baba harusi kisa tu na kaunda suti kama nne hivi do nikawa nafanana na baba harusi so kila mchezo wa kibaba tunaanza na harusi mwamba nakuwa baba harusi haa haaa mke wangu ANITA upo wapi njoo tuyajenge maisha
 
Miaka ya 90 katika mchezo wa Mpira wa miguu mtaani kulikuwa na .....

Gombania goli ,

magoli madogo,

timu kutoka,

penalty-penalty

Danadana.

Mstari kati
 
Miaka hiyo tumecheza sana rede, esta esta na kuruka kamba.

Siku hizi ni nadra sana kukuta watoto wanacheza hiyo michezo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…