jong afrikaanse
JF-Expert Member
- Mar 17, 2013
- 556
- 830
Uko mchezo tuliuita DOWN TOUCH, huu ni mpira wa miguu ambao kunakuwa na wachezaji wanne uwanjani yaani wawili kila team: goal keeper na midplayer ambaye ni attacker mpira ukiwa upande wao na defender mpira ukiwa kwa team pinzani.
Principle ya mchezo goal keeper anakurushia mpira then unatakiwa uucontrol mprira na kushoot ufunge goal upande wa team pinzani bila mpira kugusa chini. Mpira ukigusa chini au opposite attacking player akifanyiwa foul basi inapigwa freekick eneo ulipoangukia mpira au foul ilipotokea. Kiwango cha magoal ya kufungwa kiliwekwa ili team kutolewa na nyingine kuingia.
Kulikuwa na jamaa anaitwa Elisha mtaani. Alikuwa na control ya mpira ya hali ya juu kwenye huu mchezo mpaka akawaga anaruhusu kufanyiwa marking na defenders wawili (anaruhusu defender mmoja wa reserve team aje asaidie) mpira ukiwa upande wao na bado jamaa alikuwa anascore. Huyu jamaa alikuwa akiwa team moja na jamaa anaitwa Emanuel ambaye alikuwa goalkeeper wanaweza wakacheza bila kutolewa kwa siku nzima asubuhi mpaka jioni.
Huu mchezo ulitengeneza mastriker wazuri walioperform kwenye tight marking defence pamoja na magoalkeeper mahiri sana wa kuchomoa michomo ya kushtukiza. Elisha alikuwa striker mzuri sana in his teenage years na angefika mbali sana kwa kipaji chake ila balehe ilimchukua vibaya akawa mlevi wa totoz na nidhamu mbovu pia ilimuangusha. Huyu jamaa alikuwa na matukio sana na moja wapo likiwa ni la kutoroka kwenye kambi ya team ya mkoa ile kipindi cha michuano ya Copa Coca Cola akaenda kula mbususu akaachwa na gari asubuhi wakati wenzake wakienda Dar kwenye michuano. Emanuel yeye alikuja kuwa bonge la nyanda na alikuwa scouted na team kubwa mpaka kufika Simba B ila sikujua ni nini kilimkwamisha kufika mbali kisoka.