πππ Huu uzi una kitu naweka kambiMi simooo uduguuu ukorofi huoooo!
Full Hekaheka πYaani. Utata mtupu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nitakutag usijali πUsiweke kabla hatujatia maguu kule!
Mi natoka hapaaa bado coca hajaja ππ!πππ Huu uzi una kitu naweka kambi
Ukipita ni tag. Nianze mwaka mpya nikiwa byeeee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] msijali napita naked baadae jiandaeni
No worriesssss πOyooooo!! Naomba kwenye hiyo love story yenu unitag puliiiiz π
SGs security. Ngoja na mimi nimlindie broHalafu sio siri, wewe umechelewa kujua!!
Jimbo lina ulinzi mkali hili [emoji23][emoji23][emoji23]
Eeeeee. Ongeza sautiMkuu naomba laki 3 hapo ya fasta fasta.. si unajua leo ndio leo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji91][emoji91]
Nakupenda leo, kesho na kesho kutwa sisy [emoji8][emoji3059][emoji3590][emoji359]
Usikute unayempenda anampenda mwingine. Jauuuu[emoji1787]Full Hekaheka [emoji16]
Leo Madame B una nini na mimi lakini?.... Bora zimwi linalonijua litanila na kunibakisha, kuliko zimwi jipya.....haahahaha
Cocastic amewekwa sehemu. Taarifa zilizotufikia hivi punde[emoji16][emoji1787][emoji2089][emoji2089]Mi natoka hapaaa bado coca hajaja [emoji119][emoji119]!
Kumbe kuna tifu na hamniambii nyieee π€ ???Kama Tayana -wag hayupo ngoja nisome tu hili tifu. Mi nimsubiri . Hatuna mpango wa kondo. Sisi kumbi kumbi manyoya tumetoa haturuki
@Antonnia tulia heka heka kuelekea Xmass unapitwa na gari ya mshaharaKumbe kuna tifu na hamniambii nyieee [emoji1783]???
Mi ngoja nitoke online kwanza tifu likinoga msisahau kuniita[emoji16]!
Mie huyu nipitwe thubutuuuu π€ π€ !@Antonnia tulia heka heka kuelekea Xmass unapitwa na gari ya mshahara
Imeishaaa[emoji1787][emoji16]Marry x max mke wangu [mention]Evelyn Salt [/mention] [emoji2960][emoji2960]