Mr Dudumizi
JF-Expert Member
- Sep 9, 2020
- 7,799
- 14,215
- Thread starter
-
- #261
Merry Christmas 'N' hApPy nEw yEar tO yOu too hOmieMerry Christmas 🎄 JF nzima
Umeona eeh,hafai huyu 🤣🤣🤣Wacha wee!! Sema Shem anatongoza kila mtu 🤣🤣🏃♀️🏃♀️🏃♀️🏃♀️
Nimechekaaaaa! Ni leo tu nilimuita shemeji yako Benchikha mchana…Samahani dada yake Miguel Ángel Gamondi, naweza tumia huu ujumbe mzuri nikamtag nao baba tikiti wangu..!?
Ahsante...
😂😂😂😂 Ewaaaaah!! Ila tajiri akiona hii sijui km pilau la christmass tutakula nayeUmeona eeh,hafai huyu 🤣🤣🤣
Ss ngoja nijiweke Kwa Dr au chawa inasemaje?
Nashukuru 🙏 Ngorunde na kwako pia ikawe heri na fanaka tele 🍾🥂raraa reree popote ulipo mwaka ujao uwe wa furaha na mafanikio tele kwako.
Ha ha ha 😂😂😂😂@Dr Adams faida
Hebu njoo🤣
Kanivurugaa kabisa shougaHa ha ha 😂😂😂😂
Shouga umeamua kumuita kabisa?!!
Jux wa JF kakuvuruga
🤣Tutakula na Dr ,,we muite😂😂😂😂 Ewaaaaah!! Ila tajiri akiona hii sijui km pilau la christmass tutakula naye
Hahaha..Nimechekaaaaa! Ni leo tu nilimuita shemeji yako Benchikha mchana…
Utumie sweetheart 😘
Wee Jux @Dr Adams faida unaitwa huku mrembo wako. Kashavunja husiano kwaajiri yako 🤣🤣🤣Kanivurugaa kabisa shouga
Naomba niitie najua we kwenye hili eneo utamaliza mambo
🤣🤣🤣
Ndio maana tunaenda sawa maana buku kwetu mtu asipokula hivyo wanasema sio mwanaumeHahaha..
Kama mtu, eti matatu..!! Hilo limeisha mwaya rafiki yangu na sinia lingine utabeba kwenye shati..
Ahsante.
Ushavunja husiano tyr?! 😜🤣Tutakula na Dr ,,we muite
Mi sitaki michanganyo
Yesu alikataza
Nimeshavunja mahusiano km chawa ulivyosema🤣Wee Jux @Dr Adams faida unaitwa huku mrembo wako. Kashavunja husiano kwaajiri yako 🤣🤣🤣