Nyonzo bin mvule
JF-Expert Member
- Sep 19, 2020
- 2,428
- 6,929
Hata bakhresa alianza kama kondo dibwine kwa kushona viatu kariakoo na leo katoboa ana miela kitim tim ,,, japo kondo dibwine yeye ana mwaka wa ishirini sasa ila bado yupo pale pale kijweni kwake anakomaa na kushona viatu ila one day na yeye atakuwa kama bakhresa!!!