Nyonzo bin mvule
JF-Expert Member
- Sep 19, 2020
- 2,428
- 6,929
Ikungi sehemu Gani mkuu? Mwenyewe natokea huko ilu nikajifunze kwakeufugaji wa kuku wa kienyeji unalipa sana,kuna jamaa yangu huko Ikungi alianzaga na nyoya moja tu ila sasahivi ana kuku wasiopungua elfu sabini,na fuso tano ila sio zile za tandam,zenyewe za kawaida tu.