Thread maalum ya kuweka Links za michezo za kuangalia Online hususani mpira

na ukitaka ku stream kwa pc inakuaje?
pc ndio ina njia nyingi kuliko zote. kifupi njia zote za simu unaweza tumia kwenye pc ukitaka mobdro, ukitaka iptv player, kodi, flash, html5, acestream, sopcast etc. we unajua njia gani?
 
Shukrani sana mkuu nitaleta mrejesho
 
Kama unataka kuangalia ligi ya italia, ufaransa au ujerumani tumia app ya star times, inaonesha vizuri bila kula sana mb zako. Ila hizo ndo ligi pekee ambazo mechi zake huwa live
 
 
Oiii wana sport kwa anayefaham namna ya kuangalia mechi online kwa kutumia PC
 
Kwa wale wapenda michezo kama mimi napenda kushare namna ya kuangalia mechi online. Hii inasaidia kwa wale wanaoenda umbali mrefu ili kupata kutazama tim zao.

Jinsi ya kufanya ni fungua browser yoyote kweny pc alaf tembelea goatdee.net website iyo itakonyesha link nyingi chagua unayoipenda then enjoy. Mechi moja ya football inaeza cost atleast 500MB.

Skuiz sio lazma kutembea usiku kisa mechi. Champions league final is on its way guys had to share this before the major occasion. Enjoy
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…